title : TAIFA STARS YAPATA UDHAMINI TOKA SERENGETI BREWERIES
kiungo : TAIFA STARS YAPATA UDHAMINI TOKA SERENGETI BREWERIES
TAIFA STARS YAPATA UDHAMINI TOKA SERENGETI BREWERIES
Na John Luhende.
Mwambawahabari
Kampuni ya bia ya Serengeti imesaini mkataba wa kudhamini Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa stars ambapo ndo ya miaka mitatu ita saidia jumla ya shilingi billion 2.1
Akizungumza katika hafla hiyo Rais wa shirikisho la Moira nchini TFF Jamali malinzi amesema udhamini huo utaiwezesha timuhiyo katika kugharamia maandalizi yake katika safari za soca katika mashindano mbalimbali ,na amewaomba watanzania kuipa sapot Timu hiyo.
Naye Mkurugenzi wa kampuni ya Serengeti Helen Weesie , amesema huu ni udhamini wa Mara ya Pili Kwa ambapo Mara ya kwanza nlikuwa mwaka 2017 hadi 2011 na ameongeza kuwa wamedhamini kwa kuwa mpira huwaleta wadau pamoja na kuleta amani kwa watu wote.
Kwa upande wake Waziri wa Habari utamaduni Sana'a na Michezo Dr Harrison Mwakyembe ame Mwamba Malinzi kuwa watanzania hawajafurahishwa na matokeo ya Timu ya Taifa ambapo imekuwa ikipata kila Mara hivyo na kuiomba TFF kutokanana na udhamini huu kutumia vizuri ili kuweza kufikisha mbali Timu hiyo ,nakuishukuru kampuni
Hivyo makala TAIFA STARS YAPATA UDHAMINI TOKA SERENGETI BREWERIES
yaani makala yote TAIFA STARS YAPATA UDHAMINI TOKA SERENGETI BREWERIES Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS YAPATA UDHAMINI TOKA SERENGETI BREWERIES mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/taifa-stars-yapata-udhamini-toka.html
0 Response to "TAIFA STARS YAPATA UDHAMINI TOKA SERENGETI BREWERIES"
Post a Comment