WAZIRI MKUU AZINDUZIA WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE

WAZIRI MKUU AZINDUZIA WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AZINDUZIA WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AZINDUZIA WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE
kiungo : WAZIRI MKUU AZINDUZIA WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE

soma pia


WAZIRI MKUU AZINDUZIA WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE

 Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akikata utepe katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Shughuli hiyo imeshudiwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson,  Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai na mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa.
 Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai kitabu cha Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge mara baada ya kuzindua Mkakati huo leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Anayefuata ni Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai, wa kwanza kushoto ni mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa.
 Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wakifurahia uzinduzi wa Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge uliofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Wengine ni Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai na wa kwanza kushoto ni mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya uzinduzi wa Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge uliofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma wengine ni Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai, mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa (wa kwanza kushoto), wengine nyuma ni watendaji mbalimbali wa Mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP).
 PICHA NA OFISI YA BUNGE


Hivyo makala WAZIRI MKUU AZINDUZIA WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE

yaani makala yote WAZIRI MKUU AZINDUZIA WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AZINDUZIA WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/waziri-mkuu-azinduzia-wa-mkakati-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AZINDUZIA WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE"

Post a Comment