KANTE ATWA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ENGLAND,AKIWAPIGA CHINI HAZARD,ZLATAN NA SANCHEZ

KANTE ATWA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ENGLAND,AKIWAPIGA CHINI HAZARD,ZLATAN NA SANCHEZ - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KANTE ATWA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ENGLAND,AKIWAPIGA CHINI HAZARD,ZLATAN NA SANCHEZ, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KANTE ATWA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ENGLAND,AKIWAPIGA CHINI HAZARD,ZLATAN NA SANCHEZ
kiungo : KANTE ATWA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ENGLAND,AKIWAPIGA CHINI HAZARD,ZLATAN NA SANCHEZ

soma pia


KANTE ATWA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ENGLAND,AKIWAPIGA CHINI HAZARD,ZLATAN NA SANCHEZ


3F8A26DC00000578-4437940-image-m-87_1492980021944
Kiungo wa Chelsea, N’Golo Kante ameibuka mshindi katika tuzo ya mchezaji bora wa kulipwa nchini England.
 
Kante amechukua ushindi mbele ya wachezaji wengi nyota ambao walikuwa wakipewa nafasi kama Eden Hazard (Chelsea), kutoka Tottenham’, Harry Kane, Zlatan Ibrahimovic (Manchester UnitedI, Romelu Lukaku (Everton)na Alexis Sanchez wa Arsenal.
Kante 26, ambaye ni raia wa Ufaransa ameshinda tuzo hiyo ambayo hutolewa na chama cha wanasoka wa kulipwa.
 
Chelsea ilimwaga kitita cha pauni milioni 32 kumnasa Kante kutoka Leicester aliyokuwa ameisaidia kuipa ubingwa msimu uliopita.


Hivyo makala KANTE ATWA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ENGLAND,AKIWAPIGA CHINI HAZARD,ZLATAN NA SANCHEZ

yaani makala yote KANTE ATWA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ENGLAND,AKIWAPIGA CHINI HAZARD,ZLATAN NA SANCHEZ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KANTE ATWA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ENGLAND,AKIWAPIGA CHINI HAZARD,ZLATAN NA SANCHEZ mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/kante-atwa-tuzo-ya-mwanasoka-bora-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KANTE ATWA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ENGLAND,AKIWAPIGA CHINI HAZARD,ZLATAN NA SANCHEZ"

Post a Comment