title : WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WABUNGE WALIO KULA KIAPO BUNGENI LEO
kiungo : WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WABUNGE WALIO KULA KIAPO BUNGENI LEO
WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WABUNGE WALIO KULA KIAPO BUNGENI LEO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 06, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Korogwe Mjini baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 06, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Liwale, Mohamed Kuchauka baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 06, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde wakati wa picha ya pamoja katika Viwanja vya Bunge na Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dodoma leo Novemba 06, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Hivyo makala WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WABUNGE WALIO KULA KIAPO BUNGENI LEO
yaani makala yote WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WABUNGE WALIO KULA KIAPO BUNGENI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WABUNGE WALIO KULA KIAPO BUNGENI LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/waziri-mkuu-awapongeza-wabunge-walio.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WABUNGE WALIO KULA KIAPO BUNGENI LEO"
Post a Comment