title : WAZIRI MKUU AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA VIWANDA MKOA WA PWANI
kiungo : WAZIRI MKUU AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA VIWANDA MKOA WA PWANI
WAZIRI MKUU AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA VIWANDA MKOA WA PWANI
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Masoko wa kampuni ya Chumi 'Neel Salt', Vivian Stephan, wakati alipofika Uwanja wa Sabasaba Picha ya Ndege Mkoa wa Pwani jana kwa ajili ya kufunga maonesho ya Wiki ya Viwanda.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi, Cyprian Luhemeja, wakati alipofika Uwanja wa Sabasaba Picha ya Ndege Mkoa wa Pwani jana kwa ajili ya kufunga maonesho ya Wiki ya Viwanda
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Utawala wa kampuni ya Terra inayobangua Korosho, Peter Christopher, wakati alipofika Uwanja wa Sabasaba Picha ya Ndege Mkoa wa Pwani jana kwa ajili ya kufunga maonesho ya Wiki ya Viwanda. (Picha na Muhidin Sufiani)
Hivyo makala WAZIRI MKUU AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA VIWANDA MKOA WA PWANI
yaani makala yote WAZIRI MKUU AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA VIWANDA MKOA WA PWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA VIWANDA MKOA WA PWANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/waziri-mkuu-afunga-maonesho-ya-wiki-ya.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA VIWANDA MKOA WA PWANI"
Post a Comment