WAHITIMU WA MAFUNZO MICHEZO YA NGUMI NA MPIRA WA WAVU WA MAJESHI WATAKIWA KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO

WAHITIMU WA MAFUNZO MICHEZO YA NGUMI NA MPIRA WA WAVU WA MAJESHI WATAKIWA KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAHITIMU WA MAFUNZO MICHEZO YA NGUMI NA MPIRA WA WAVU WA MAJESHI WATAKIWA KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAHITIMU WA MAFUNZO MICHEZO YA NGUMI NA MPIRA WA WAVU WA MAJESHI WATAKIWA KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO
kiungo : WAHITIMU WA MAFUNZO MICHEZO YA NGUMI NA MPIRA WA WAVU WA MAJESHI WATAKIWA KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO

soma pia


WAHITIMU WA MAFUNZO MICHEZO YA NGUMI NA MPIRA WA WAVU WA MAJESHI WATAKIWA KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO


Na Hussein Ndubikile
Mwamba wa habari
Wahitimu wa Mafunzo  Michezo ya Ngumi na Mpira wa wavu wa majeshi watakiwa kuyatumia mafunzo kwa vitendo.

 Wahitimu wa Mafunzo ya Michezo ya Ngumi na Mpira wa Wavu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama pamoja na raia wametakiwa kuyatuma vizuri mafunzo waliyoyapata kutoka kwa wakufunzi  Wajerumani katika kuendeleza michezo hiyo, kuendeleza vipaji vya wanafunzi wao na jamii inayowazunguka.



Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Shirikisho la Michezo ya Majeshi nchini, Brigedia Jenerali Suleimani Mzee wakati akifunga Mafunzo ya Siku 10 yaliyotolewa kwa Wakufunzi wa majeshi wa michezo hiyo pamoja na raia. 

Amesema kuwa  wakufunzi wote na raia walioshiriki wanatakiwa kuyatuma mafunzo hayo kwa vitendo na sio kuviweka makabatini vyeti vya uhitimu walivyovipata huku akiwahimiza kuyafikisha kwa wananafunzi na raia.

“Umuhimu wa mafunzo mmeuona msifungie vyeti vya mafunzo mliyopewa yatumieni kwa vitendo haitakuwa haina maana yatumieni kuendeleza vipaji vyenu na kuwapa wanafunzi wenu la sivyo mtakuwa mmepoteza muda wenu,” amesesma .

Amebainisha kuwa Tanzania ni mwanachama wa Shirikisho la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM) hivyo kupitia uongozi wa jeshi na ubalozi waliomba kupatiwa wakufunzi kutoka nchi hiyo na kufanikiwa kuwapata na kwamba mafunzo hayo yatawasaidia kuwajengea uwezo na kuendeleza vipaji.

Amesisitiza kuwa mafunzo hayo yalishirikisha jumla ya wakufunzi 56 kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania, jeshi la Polisi, Jeshi la Zima Moto na Uokoaji na raia na kubainisha yalitolewa na wakufunzi wanne kutoka Jeshi la Ujerumani.

Amefafanua kuwa endapo mafunzo waliyoyapata hawatayazingatia watakuwa wamewapotezea muda wakufunzi waliokubali kuja nchini kuwaongezea ujuzi wao.

Brigedia Jernerali Mzee amesema kwa kuwa mafunzo hayo yana umuhimu wanaangalia uwezekano wa kufanyika awamu ya pili ya mafunzo hayo mwakani.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Utimamu wa mwili, michezo na utamaduni, Kanali Erasimus Bwegoge amesema mafunzo hayo yatasaidia kuinua michezo hiyo pamoja na kuwasaidia makocha kuwaongezea ujuzi makocha wote walioshiriki.

Naye Mkufunzi Mkuu wa mafunzo hayo, Kapteni Paul Klar kutoka jeshi la ujerumani ,amefurahishwa na ukarimu na ushirikiano waliopewa na washiriki katika muda wote wa mafunzo na kusisitiza kuwa wamejifunza kwa ujumla maisha ya watanzania.

Kapteni Klar  amesema washiriki walikuwa wakiyapokea vizuri na kwamba watapohitajika kwa mara nyingine watakuwa tayari kuja nchini.
Mwisho.












Hivyo makala WAHITIMU WA MAFUNZO MICHEZO YA NGUMI NA MPIRA WA WAVU WA MAJESHI WATAKIWA KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO

yaani makala yote WAHITIMU WA MAFUNZO MICHEZO YA NGUMI NA MPIRA WA WAVU WA MAJESHI WATAKIWA KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAHITIMU WA MAFUNZO MICHEZO YA NGUMI NA MPIRA WA WAVU WA MAJESHI WATAKIWA KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/wahitimu-wa-mafunzo-michezo-ya-ngumi-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAHITIMU WA MAFUNZO MICHEZO YA NGUMI NA MPIRA WA WAVU WA MAJESHI WATAKIWA KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO"

Post a Comment