NAIBU SPIKA AKUTANA NA TIMU YA MBEYA CITY FC JIJINI DODOMA

NAIBU SPIKA AKUTANA NA TIMU YA MBEYA CITY FC JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU SPIKA AKUTANA NA TIMU YA MBEYA CITY FC JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU SPIKA AKUTANA NA TIMU YA MBEYA CITY FC JIJINI DODOMA
kiungo : NAIBU SPIKA AKUTANA NA TIMU YA MBEYA CITY FC JIJINI DODOMA

soma pia


NAIBU SPIKA AKUTANA NA TIMU YA MBEYA CITY FC JIJINI DODOMA

 Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Wachezaji pamoja na Viongozi wa Timu ya Mbeya City FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara walipotembelea Bungeni kwa ajili Ziara ya Mafunzo hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. 
 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Mbeya James Kasusura akifafanua jambo mbele ya Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa katika Ziara ya Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Mbeya City FC walipotembelea Bungeni kwa ajili ya Ziara ya Mafunzo hii leo Jijini Dodoma. 
Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Mbeya City FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara walipotembelea Bungeni kwa ajili ya kufanya Ziara ya Mafunzo hii leo Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)


Hivyo makala NAIBU SPIKA AKUTANA NA TIMU YA MBEYA CITY FC JIJINI DODOMA

yaani makala yote NAIBU SPIKA AKUTANA NA TIMU YA MBEYA CITY FC JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU SPIKA AKUTANA NA TIMU YA MBEYA CITY FC JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/naibu-spika-akutana-na-timu-ya-mbeya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU SPIKA AKUTANA NA TIMU YA MBEYA CITY FC JIJINI DODOMA"

Post a Comment