title : WEMA SEPETU AFIKISHWA MAHAKAMANI
kiungo : WEMA SEPETU AFIKISHWA MAHAKAMANI
WEMA SEPETU AFIKISHWA MAHAKAMANI
Wema amefikishwa mahakamani hapo saa 4 asubuhi na kupelekwa katika chumba cha mahabusu.
Wema alikuwa chini ya ulinzi wa polisi na alikuwa amevaa miwani na kujitanda ushungi.
Jana, zilisambaa taarifa kuwa Wema alikuwa akishikiliwa na polisi, taarifa ambazo si polisi wala watu wa karibu wa mwigizaji huyo waliokubali kuzithibitisha.
Hivyo makala WEMA SEPETU AFIKISHWA MAHAKAMANI
yaani makala yote WEMA SEPETU AFIKISHWA MAHAKAMANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WEMA SEPETU AFIKISHWA MAHAKAMANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/wema-sepetu-afikishwa-mahakamani.html
0 Response to "WEMA SEPETU AFIKISHWA MAHAKAMANI"
Post a Comment