Wabunge wa Upinzani wasusa kuapishwa wabunge wa CCM.

Wabunge wa Upinzani wasusa kuapishwa wabunge wa CCM. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wabunge wa Upinzani wasusa kuapishwa wabunge wa CCM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wabunge wa Upinzani wasusa kuapishwa wabunge wa CCM.
kiungo : Wabunge wa Upinzani wasusa kuapishwa wabunge wa CCM.

soma pia


Wabunge wa Upinzani wasusa kuapishwa wabunge wa CCM.

 

Wabunge wa Chadema na wa CUF upande wa katibu mkuu Maalim Seif wamesusia kushuhudia kiapo cha wabunge wanne wa CCM wakati wabunge hao walipokuwa wanaapishwa.

Mkutano wa Bunge umeanza leo asubuhi Jumanne Novemba 6, 2018 na kuongozwa na Spika Job Ndugai.
Mara baada ya kumaliza dua na wimbo wa Taifa, uliwadia wasaa wa kiapo kwa wabunge wanne waliokuwa upinzani ambao walijiuzulu na kuhamia CCM ambako waliibuka washindi.
Wakati wa shughuli hiyo ya kiapo, wabunge hao wa Chadema na CUF upande wa Maalim Seif hawakuwapo bungeni.
Aliyekuwa wa kwanza kuapishwa ni Julius Kalanga (Monduli), akafuatia Mwita Waitara (Ukonga), akaja Timotheo Mzava (Korogwe vijijini) aliyepita bila kupingwa akichukua nafasi ya marehemu Stephen Ngonyani ‘Majimarefu’ aliyefariki dunia.
Wa mwisho kuapishwa alikuwa Zuberi Kuchauka (Liwale) ambaye awali alikuwa mbunge kupitia CUF. Mara baada ya kumaliza kuapishwa, wabunge hao wa Chadema na CUF walirejea bungeni.


Hivyo makala Wabunge wa Upinzani wasusa kuapishwa wabunge wa CCM.

yaani makala yote Wabunge wa Upinzani wasusa kuapishwa wabunge wa CCM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wabunge wa Upinzani wasusa kuapishwa wabunge wa CCM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/wabunge-wa-upinzani-wasusa-kuapishwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wabunge wa Upinzani wasusa kuapishwa wabunge wa CCM."

Post a Comment