title : UONGOZI WA BENKI YA CRDB WAMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
kiungo : UONGOZI WA BENKI YA CRDB WAMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
UONGOZI WA BENKI YA CRDB WAMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James (kulia) akizungumza na Viongozi wa Benki ya CRDB waliofika ofisini kwake leo, kwa lengo la kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto). Ujumbe wa Benki ya CRDB uliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Ally Laay (kushoto), Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Esther Kitoka pamoja na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa tatu kulia) akifafanua jambo wakati wa kikao chao na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James (kushoto) walipomtembela ofisini kwake, jijini Dar es salaam leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James (wa pili kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akijadiliana jambo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Esther Kitoka wakati wa kikao chao na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James.
Picha ya pamoja.
Hivyo makala UONGOZI WA BENKI YA CRDB WAMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
yaani makala yote UONGOZI WA BENKI YA CRDB WAMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UONGOZI WA BENKI YA CRDB WAMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/uongozi-wa-benki-ya-crdb-wamtembelea.html
0 Response to "UONGOZI WA BENKI YA CRDB WAMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO"
Post a Comment