TFS YAWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11 KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

TFS YAWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11 KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFS YAWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11 KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFS YAWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11 KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO
kiungo : TFS YAWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11 KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

soma pia


TFS YAWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11 KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO


Serikali kupitia Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imewasimamisha kutekeleza majukumu yao watumishi 11 wa TFS walioonekana kutenda makosa mbalimbali. Kati yao watatu wamefikishwa mahakamani kwa makosa ya uhujumu uchumi sambamba na watu wengine wawili.

Aidha, Serikali imezuia biashara ya mti wa Mkurungu kwa matumizi ya ndani au kusafirishwa nje ya nchi hadi hapo itakapotolewa taarifa nyingine.

Kusimamishwa kwa watumishi hao kunafuatia kubainika kwa uwepo wa magogo yaliyovunwa kinyume cha sheria na kutelekezwa katika maeneo mbalimbali kwenye vijiji na msituni kufuatia

va na Kikosi kazi cha kuzuia ujangili kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na kubaini baadhi ya watumishi kuonekana kushiriki katika uhalifu huo.

Kufuatia uchunguzi uliofanywa, gari moja lilikamatwa likiwa na mbao (slippers) 382 za mti wa Mkurungu na kuzuiliwa kwa uchunguzi ambapo watuhumiwa wawili walikamatwa. Aidha, mbao 825 zilikamatwa zikisafirishwa kwa treni katika stesheni ya Usule, Shinyanga na watuhumiwa 6 ambao ni watumishi wa shirika la reli kukamatwa kwa mahojiano.

Ili kudhibiti tatizo hili, uongozi wa Kikosi cha Taifa cha kuzuia Ujangili (NTAP), Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ulikutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Tabora (KUU) na kufikia maamuzi yafuatayo:


Hivyo makala TFS YAWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11 KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

yaani makala yote TFS YAWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11 KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFS YAWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11 KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/tfs-yawasimamisha-kazi-watumishi-11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TFS YAWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11 KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO"

Post a Comment