Balozi wa Kuwait nchini akabidhi vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

Balozi wa Kuwait nchini akabidhi vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi wa Kuwait nchini akabidhi vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi wa Kuwait nchini akabidhi vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete
kiungo : Balozi wa Kuwait nchini akabidhi vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

soma pia


Balozi wa Kuwait nchini akabidhi vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Jasen Al Najem akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Jasen Al Najem na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu (katikati) akikata utepe wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Jasen Al Najem na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Jasen Al Najem (katikati) wakikabidhi kwa watoto wenye matatizo ya moyo zawadi ya madaftari wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na baadhi ya wazazi wenye watoto wenye matatizo ya moyo wakati wa hafla ya kupokea vifaa tiba toka Ubalozi wa Kuwait kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Jasen Al Najem. Picha na Eliphace Marwa - Maelezo


Hivyo makala Balozi wa Kuwait nchini akabidhi vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

yaani makala yote Balozi wa Kuwait nchini akabidhi vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa Kuwait nchini akabidhi vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/balozi-wa-kuwait-nchini-akabidhi-vifaa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi wa Kuwait nchini akabidhi vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete"

Post a Comment