TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MASUALA YA USHOGA YALIYOZUNGUMZWA NA RC MAKONDA

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MASUALA YA USHOGA YALIYOZUNGUMZWA NA RC MAKONDA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MASUALA YA USHOGA YALIYOZUNGUMZWA NA RC MAKONDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MASUALA YA USHOGA YALIYOZUNGUMZWA NA RC MAKONDA
kiungo : TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MASUALA YA USHOGA YALIYOZUNGUMZWA NA RC MAKONDA

soma pia


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MASUALA YA USHOGA YALIYOZUNGUMZWA NA RC MAKONDA

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inapenda kuwajulisha wananchi na jumuiya ya kimataifa kupitia vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi kuhusu masuala ya ushoga yaliyoongelewa na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam hivi karibuni.

Katika mkutano wake na vyombo vya habari, Mhe. Mkuu wa Mkoa alitangaza kampeni ya kukabiliana na vitendo vya ushoga katika jiji la Dar es Salaam.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ingependa kufafanua kwamba, hayo ni mawazo yake na sio msimamo wa Serikali.

Aidha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ingependa kutumia nafasi hii kukumbusha na kusisitiza kwamba, itaendelea kuheshimu mikataba yote ya kimataifa inayohusu haki za binadamu ambayo imesaini na kuridhia.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea na itaendelea kuheshimu na kulinda haki hizo kama zilivyo katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Imetolewa na:
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dodoma.
04 Novemba, 2018



Hivyo makala TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MASUALA YA USHOGA YALIYOZUNGUMZWA NA RC MAKONDA

yaani makala yote TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MASUALA YA USHOGA YALIYOZUNGUMZWA NA RC MAKONDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MASUALA YA USHOGA YALIYOZUNGUMZWA NA RC MAKONDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/taarifa-kwa-umma-kuhusu-masuala-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MASUALA YA USHOGA YALIYOZUNGUMZWA NA RC MAKONDA"

Post a Comment