TAA NA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WAJADILI USALAMA WA USAFIRI WA ANGA

TAA NA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WAJADILI USALAMA WA USAFIRI WA ANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAA NA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WAJADILI USALAMA WA USAFIRI WA ANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAA NA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WAJADILI USALAMA WA USAFIRI WA ANGA
kiungo : TAA NA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WAJADILI USALAMA WA USAFIRI WA ANGA

soma pia


TAA NA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WAJADILI USALAMA WA USAFIRI WA ANGA


MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imedhamiria kuleta mageuzi Makuu katika usalama wa usafiri wa Anga katika Kitengo cha Zimamoto na Uokoaji katika Viwanja 58 vilivyo chini yake vilivyo katika Mikoa mbali mbali ya Tanzania Bara.

Katika kutimiza hilo TAA leo imefanya Kikao kazi kikiongozwa na Kusimamiwa na Kamishna Jenerali wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Afande Thobias Adengenye pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw. Lawrence Thobias na kuhudhuriwa na Makamanda wa Mikoa na Wakuu wa
Vituo vya Zimamoto na Uokoaji Viwanja vya ndege Bara.

Akizungumza katika ufunguzi wa kikao hicho muhimu, Afande Kamishna Andengenye amebainisha kwamba lengo kuu la kikao kazi hicho ni kuzitambua changamoto za kiutendaji lakini pia kuboresha na kuendeleza mahusiano mazuri yaliyopo.

“Lengo kuu ni kuzitambua changamoto zilizopo, lakini pia kuzipatia ufumbuzi changamoto hizi hii yote itaboresha mazingira ya kazi lakini pia kuimarisha na kuendeleza mahusiano yaliyopo baina ya Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania (TAA) na Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji” alisema Afande Andengenye.
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Afande Thobias Andengenye akizungumza na Makamanda wa Mikoa na Wakuu wa Vituo vya Zimamoto na Uokoaji Viwanja vya ndege Bara katika kikao kazi kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Banana Ukonga Jijini Dar es Salaam.
 Makamanda wa Mikoa na Wakuu wa Vituo vya Zimamoto na Uokoaji Viwanja vya ndege Bara Wakifuatilia Mada katika kikao kazi kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA).
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Lawrence Thobias (tatu kulia waliokaa), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Afande Thobias Andengenye (katikati) na  Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu KADGO Mhandisi Martin Kanyamagoha wakiwa katika picha ya pamoja na Makamanda wa Mikoa na Wakuu wa Vituo vya Zimamoto na Uokoaji Viwanja vya ndege Bara, waliohudhuria katika kikao kazi kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA).
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Lawrence Thobias (Mwenye suti ya Kijivu) akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Afande Thobias Andengenye mara baada ya kuwasili katika jengo la Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) kwa ajili ya kikao Kazi na Makamanda wa Mikoa na Wakuu wa Vituo vya Zimamoto na Uokoaji Viwanja vya ndege Bara.


Hivyo makala TAA NA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WAJADILI USALAMA WA USAFIRI WA ANGA

yaani makala yote TAA NA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WAJADILI USALAMA WA USAFIRI WA ANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAA NA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WAJADILI USALAMA WA USAFIRI WA ANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/taa-na-kikosi-cha-zimamoto-na-uokoaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAA NA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WAJADILI USALAMA WA USAFIRI WA ANGA"

Post a Comment