SHIRIKA LA WWF LAFANYA ZIARA KUFUATILIA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI MRADI WA SECAD WILAYANI NAMTUMBO

SHIRIKA LA WWF LAFANYA ZIARA KUFUATILIA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI MRADI WA SECAD WILAYANI NAMTUMBO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA WWF LAFANYA ZIARA KUFUATILIA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI MRADI WA SECAD WILAYANI NAMTUMBO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA WWF LAFANYA ZIARA KUFUATILIA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI MRADI WA SECAD WILAYANI NAMTUMBO
kiungo : SHIRIKA LA WWF LAFANYA ZIARA KUFUATILIA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI MRADI WA SECAD WILAYANI NAMTUMBO

soma pia


SHIRIKA LA WWF LAFANYA ZIARA KUFUATILIA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI MRADI WA SECAD WILAYANI NAMTUMBO

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

SHIRIKA la Kimataifa la Hifadhi la  World Wide Fund for Nature (WWF) limefanya ziara katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma kwa lengo la kufuatilia maendeleo ya utekelezaji wa mradi ujulikanao SECAD program ( Selous Eco-system Conservation and Development program).

 SECAD ni mradi ambao kwa jumla utatekelezwa kwa miaka mitano ikiwa ni awamu ya kwanza na ya pili ambapo umejikita kuhakikisha wanaongeza uhifadhi wa mazingira kwa maana ya kwenye hifadhi ya Selous pamoja na ushoroba (corridor) unaounganisha pori la akiba la Selous na hifadhi ya Niassa ipatikanayo nchini Msumbiji

Mkuu wa Wilaya Namtumbo Sophia Kizigo jana kwamba ugeni wa shirika hili uliofika wilayani kwake ulitembelea na kujionea maendeleo ya mradi  na kutembelea jumuiya ya uhifadhi ya Mbarang'andu ambapo walipata taarifa ya mradi na kujionea mafanikio, mipango na changamoto kwa sasa. 

Mkuu wa Wilaya huyo ameueleza ugeni wa shirika hilo kuwa moja ya mafanikio ni mradi wa ufugaji wa nyuki kwa ajili ya kurina asali ambao unaosimamiwa na jumuiya hiyo pamoja na mpango wa ujenzi wa kiwanda cha kuongezea thamani asali pamoja na mabwawa ya samaki.

Kuhusu changamoto amesema moja ya changamoto ya mradi ni  wananchi kuvamia maeneo ya hifadhi na kufanya shughuli za kibinadamu kama kilimo na ufugaji

Pia walitembelea Chuo cha Likuyu ambacho kinatumika kufundisha VGS (village scouts) wanaotumika kulinda hifadhi hizo. 
 Mkuu wa Wilaya Namtumbo Sophia Kizigo akipewa maelezo kuhusiana na maendeleo ya mradi wa wa SECAD program ( Selous Eco-system Conservation and Development program) wakati SHIRIKA la Kimataifa la Hifadhi la  World Wide Fund for Nature (WWF) likifanya zaira wilayani yumo kufuatilia mradi huo  
 Eneo la mradi wa ufugaji wa nyuki kwa ajili ya kurina asali
 Mkuu wa Wilaya Namtumbo Sophia Kizigo akiwa sambamba na Wadau wa  SHIRIKA la Kimataifa la Hifadhi la  World Wide Fund for Nature (WWF) wakionesha chupa ya asali ikiwa ni sehemu ya mafanikio ya mradi wa ufugaji wa nyuki kwa ajili ya kurina asali ,ambao unasimamiwa na jumuiya hiyo pamoja na mpango wa ujenzi wa kiwanda cha kuongezea thamani asali pamoja na mabwawa ya samaki. 
 Mkuu wa Wilaya Namtumbo Sophia Kizigo akikaribishwa mara baada ya kuwapokea wageni kutoka SHIRIKA la Kimataifa la Hifadhi la  World Wide Fund for Nature (WWF) llilofanya ziara katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma kwa lengo la kufuatilia maendeleo ya utekelezaji wa mradi ujulikanao SECAD program ( Selous Eco-system Conservation and Development program).


Hivyo makala SHIRIKA LA WWF LAFANYA ZIARA KUFUATILIA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI MRADI WA SECAD WILAYANI NAMTUMBO

yaani makala yote SHIRIKA LA WWF LAFANYA ZIARA KUFUATILIA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI MRADI WA SECAD WILAYANI NAMTUMBO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA WWF LAFANYA ZIARA KUFUATILIA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI MRADI WA SECAD WILAYANI NAMTUMBO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/shirika-la-wwf-lafanya-ziara-kufuatilia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKA LA WWF LAFANYA ZIARA KUFUATILIA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI MRADI WA SECAD WILAYANI NAMTUMBO"

Post a Comment