Maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharula wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki yakamilika

Maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharula wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki yakamilika - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharula wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki yakamilika, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharula wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki yakamilika
kiungo : Maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharula wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki yakamilika

soma pia


Maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharula wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki yakamilika

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Aziz P. Mlima akizungumza kwenye kikao cha Wataalamu ngazi ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.  Mkutano huu ni maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika tarehe 18 Mei, 2017 Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi wa Siasa, Ulinzi na Usalama Bw. Stephene Mbundi akisisitiza wakati wa Mkutano wa ngazi ya Wataalam kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam
Sehemu ya wajumbe wakifuatilia mkutano
Katibu Mkuu Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Liberat Mfumukeko akifuatilia Mkutano.


Hivyo makala Maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharula wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki yakamilika

yaani makala yote Maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharula wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki yakamilika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharula wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki yakamilika mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/maandalizi-ya-mkutano-wa-34-wa-dharula.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharula wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki yakamilika"

Post a Comment