SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MRADI WA KUHIFADHI MAZINGIRA UKANDA WA MAGHARIBI MWA TANZANIA

SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MRADI WA KUHIFADHI MAZINGIRA UKANDA WA MAGHARIBI MWA TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MRADI WA KUHIFADHI MAZINGIRA UKANDA WA MAGHARIBI MWA TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MRADI WA KUHIFADHI MAZINGIRA UKANDA WA MAGHARIBI MWA TANZANIA
kiungo : SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MRADI WA KUHIFADHI MAZINGIRA UKANDA WA MAGHARIBI MWA TANZANIA

soma pia


SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MRADI WA KUHIFADHI MAZINGIRA UKANDA WA MAGHARIBI MWA TANZANIA

Dar es Salaam: Novemba 5, 2018, Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Inmi Patterson na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais wa Muungano na Mazingira Ndugu January Makamba wamezindua mradi utakaogharimu kiasi cha dola za kimarekani milioni 20 ili kuboresha usimamizi katika kuhifadhi mazingira kwenye ukanda wa magharibi mwa Tanzania.

Mradi huu wa uhifadhi wa mazingira unafadhiliwa na Serikali ya Marekani kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) na utatekelezwa kwa ushirikiano wa pamoja na Taasisi ya Jane Goodall (JGI).

Mradi huu mpya utasaidia watu wa Mikoa ya Kigoma na Katavi, pamoja na serikali za mitaa, katika utekelezaji wa mipango ya matumizi bora ya ardhi na utakaonufaisha vijiji 104.

Mradi huu wa Uhifadhi wa Mazingira umeundwa kulinda mazingira wakati pia unasaidia wananchi katika shuhuli za kujikimu kiuchumi na maisha bora kama vile uzalishaji wa kahawa na utalii asili kwa ajili ya watanzania. Taasisi ya Jane Goodall itafanya kazi kwa karibu na jamii ili kuhamasisha mazoea endelevu zaidi ya usimamizi wa ardhi na kukuza elimu ya mazingira, kwa kutumia majukwaa kama vile mradi iliyofanikiwa sana ya Roots na Shoots ya Taasisi ya Jane Goodall.

Zaidi ya hayo, kama sehemu ya ruzuku hii, Taasisi ya Jane Goodall itaendelea kufanya kazi kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuunda mifumo imara zaidi katika kuhifadhi na kulinda sokwe walioko ndani na nje ya maeneo tengefu.


Hivyo makala SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MRADI WA KUHIFADHI MAZINGIRA UKANDA WA MAGHARIBI MWA TANZANIA

yaani makala yote SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MRADI WA KUHIFADHI MAZINGIRA UKANDA WA MAGHARIBI MWA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MRADI WA KUHIFADHI MAZINGIRA UKANDA WA MAGHARIBI MWA TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/serikali-ya-marekani-yazindua-mradi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MRADI WA KUHIFADHI MAZINGIRA UKANDA WA MAGHARIBI MWA TANZANIA"

Post a Comment