Sakata la Mashoga lampeleka Dudu Baya Polisi Osyterbay

Sakata la Mashoga lampeleka Dudu Baya Polisi Osyterbay - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Sakata la Mashoga lampeleka Dudu Baya Polisi Osyterbay, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Sakata la Mashoga lampeleka Dudu Baya Polisi Osyterbay
kiungo : Sakata la Mashoga lampeleka Dudu Baya Polisi Osyterbay

soma pia


Sakata la Mashoga lampeleka Dudu Baya Polisi Osyterbay


Msanii  wa Hip Hop Bongo, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’, ametinga katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar es salaam kuitikia wito wa jeshi hilo ikiwa ni siku chache baada ya kuanika hadharani majina ya watangazaji wa kiume wanaojihusisha na vitendo vya ushoga.

“Naelekea kituo cha Polisi kuitikia wito wa jeshi, nikipelekwa gerezani kwa ajili ya hawa mashoga naomba ndugu yangu yeyote asiniletee chakula, nitashinda na kulala njaa lakini nitapigana kuishinda hii vita ambayo hata vitabu vya dini vimeilaani.” Amesema Dudu Baya

Dudu Baya ambaye anajiita Oil Chafu, Konki Konki Konki Master, Mamba amefika Ostabay Polisi kwaajili ya kuhojiwa na Mkuu wa Upelelezi kuhusiana na orodha yake aliyoitoa mtandaoni ya watu aliodai wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja (mashoga).


Hivyo makala Sakata la Mashoga lampeleka Dudu Baya Polisi Osyterbay

yaani makala yote Sakata la Mashoga lampeleka Dudu Baya Polisi Osyterbay Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Sakata la Mashoga lampeleka Dudu Baya Polisi Osyterbay mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/sakata-la-mashoga-lampeleka-dudu-baya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Sakata la Mashoga lampeleka Dudu Baya Polisi Osyterbay"

Post a Comment