title : PROF MBARAWA ATEMBELEA OFISI YA DAWASA BUNJU
kiungo : PROF MBARAWA ATEMBELEA OFISI YA DAWASA BUNJU
PROF MBARAWA ATEMBELEA OFISI YA DAWASA BUNJU
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Maji taka Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwa ameambatana na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa wakati alipotembelea ofisi za DAWASA Bunju Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa akipewa taarifa na mfanyakazi wa DAWASA kitengo cha kuunganisha wateja wapya, Chini akieleza jambo kwa muhudumu huyo kuhusiana na utaratibi wa kuunganisha wateja wapya.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji akizungumza na kuwasikiliza wananchi waliokwenda kupata huduma kwenye ofisi za DAWASA Bunju Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala PROF MBARAWA ATEMBELEA OFISI YA DAWASA BUNJU
yaani makala yote PROF MBARAWA ATEMBELEA OFISI YA DAWASA BUNJU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROF MBARAWA ATEMBELEA OFISI YA DAWASA BUNJU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/prof-mbarawa-atembelea-ofisi-ya-dawasa.html
0 Response to "PROF MBARAWA ATEMBELEA OFISI YA DAWASA BUNJU"
Post a Comment