MBOWE, MATIKO WARUDISHWA TENA MAHABUSU SEGEREA

MBOWE, MATIKO WARUDISHWA TENA MAHABUSU SEGEREA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBOWE, MATIKO WARUDISHWA TENA MAHABUSU SEGEREA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBOWE, MATIKO WARUDISHWA TENA MAHABUSU SEGEREA
kiungo : MBOWE, MATIKO WARUDISHWA TENA MAHABUSU SEGEREA

soma pia


MBOWE, MATIKO WARUDISHWA TENA MAHABUSU SEGEREA

*Ni baada ya Mahakama Kuu kusimamisha usikilizwaji wa rufaa yao

Na Karama Kenyunko, Blogu ya Jamii

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam  leo Novemba 30, 2018  imesimamisha usikilizwaji wa rufaa ya  Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko kwa muda usiojulikana kupisha rufaa iliyofunguliwa na upande wa Serikali dhidi ya uamuzi wa Jaji Sam Rumanyika iliyoyatoa leo asubuhi itakaposikilizwa  na kutolewa maamuzi.

 Jaji Sam Rumanyika ametoa uamuzi huo baada ya upande wa mashtaka katika kesi hiyo kukata rufaa Mahakama ya Rufani ikipinga uamuzi uliotolewa na Mahakama  Kuu  mapema leo asubuhi wa kukubali kuendelea na usikilizwaji wa rufaa ya  Mbowe na Matiko baada ya kutupilia mbali mapingamizi yao ya awali.

Katika uamuzi wake Jaji Rumanyika amekubaliana na hoja za Serikali kuwa uamuzi mdogo ambao hauwezi kumaliza shauri hauwezi kukatiwa rufaa na wadaa wengine isipokuwa DPP tu na kuongeza kuwa, ni DPP pekee ndiye anapewa mamlaka ya kukata rufaa kwa uamuzi mdogo 
chini ya kifungu cha 6 cha Sheria ya Mamlaka ya Rufaa.

Aidha Jaji Rumanyika amesema kuhusu taarifa ya kusudio la kukata rufaa Mahakama ya Rufani, amesema hilo liko wazi kwamba kunapokuwepo na taarifa hiyo mahakama ya chini haiwezi kuendelea na shauri."Hivyo mwenendo wa shauri hili unasimama hadi rufaa iliyokatwa Mahakama ya Rufani itakaposikilizwa na kutolewa maamuzi", amesema Jaji Rumanyika.

Washtakiwa Mbowe na Matiko ambaye  wamekata rufaa Mahakama Kuu kupinga uamuzi wa  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwafutia dhamana katika kesi uchochezi inayowakabili wao na wenzao sab Novemba 23,2018 na Hakimu Mkazi Mkuu Wilbard Mashauri.



Hivyo makala MBOWE, MATIKO WARUDISHWA TENA MAHABUSU SEGEREA

yaani makala yote MBOWE, MATIKO WARUDISHWA TENA MAHABUSU SEGEREA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBOWE, MATIKO WARUDISHWA TENA MAHABUSU SEGEREA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mbowe-matiko-warudishwa-tena-mahabusu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MBOWE, MATIKO WARUDISHWA TENA MAHABUSU SEGEREA"

Post a Comment