title : PONGEZI KWA Saddy Kambona
kiungo : PONGEZI KWA Saddy Kambona
PONGEZI KWA Saddy Kambona
Tunampongeza Saddy Kambona kwa kufanikiwa kumaliza masomo yake ya shahada ya Uzamili(Masters) katika fani ya Sheria aliyotunukiwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) Novemba 13, 2018. Katika Sherehe za Mahafali iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City.![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1H846tjctwbLDf4i5Aox7u1T02ntclwpWdAv1_q8G8nRCamROSBbMgPNF4foSDmvTI3BgUfUU21sB_JR_i2a-e0T2HNwWYjPjpHmv11klPZmEuStQ5qIZQHr7SSh8rWoeYFSjV4dsNhNs/s640/WhatsApp+Image+2018-11-15+at+18.04.48+%25281%2529.jpeg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1H846tjctwbLDf4i5Aox7u1T02ntclwpWdAv1_q8G8nRCamROSBbMgPNF4foSDmvTI3BgUfUU21sB_JR_i2a-e0T2HNwWYjPjpHmv11klPZmEuStQ5qIZQHr7SSh8rWoeYFSjV4dsNhNs/s640/WhatsApp+Image+2018-11-15+at+18.04.48+%25281%2529.jpeg)
Saddy Kambona
Mzee Hamisi Kambona, baba mzazi, akimvalisha taji mwanaye Saddy Kambona ikiwa ni ishara ya kumpongeza katika Sherehe ya Mahafali iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City. Sherehe hiyo iliandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Novemba 13, 2018.
Hivyo makala PONGEZI KWA Saddy Kambona
yaani makala yote PONGEZI KWA Saddy Kambona Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PONGEZI KWA Saddy Kambona mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/pongezi-kwa-saddy-kambona.html
0 Response to "PONGEZI KWA Saddy Kambona"
Post a Comment