SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI HATI MILIKI NA KIBALI CHA UJENZI KWA AUWSA

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI HATI MILIKI NA KIBALI CHA UJENZI KWA AUWSA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI HATI MILIKI NA KIBALI CHA UJENZI KWA AUWSA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI HATI MILIKI NA KIBALI CHA UJENZI KWA AUWSA
kiungo : SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI HATI MILIKI NA KIBALI CHA UJENZI KWA AUWSA

soma pia


SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI HATI MILIKI NA KIBALI CHA UJENZI KWA AUWSA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk. Maulidi Banyani ambaye pia alikuwa mgeni rasmi akimkabidhi hati miliki Mhandisi Humphrey Mwiyombela, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira jiji la Arusha (AUWSA), wakati wa makabidhiano hayo ya hati miliki na kibali cha ujenzi wa Jengo la makao makuu ya kanda ya mamlaka hiyo hafla hiyo imefanyika leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk. Maulidi Banyani ambaye pia alikuwa mgeni rasmi akizungumza kwenye makabidhiano hayo ya hati miliki na kibali cha ujenzi wa Jengo la makao makuu ya kanda ya mamlaka hiyo hafla hiyo imefanyika leo.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega akizungumza kwenye makabidhiano hayo ya hati miliki na kibali cha ujenzi wa Jengo la makao makuu ya kanda ya mamlaka hiyo hafla hiyo imefanyika leo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa na wale wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira wa Arusha (AUWSA) wakifuatilia makabidhiano hayo ya hati miliki na kibali cha ujenzi wa Jengo la makao makuu ya kanda ya mamlaka hiyo hafla hiyo imefanyika leo.


Hivyo makala SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI HATI MILIKI NA KIBALI CHA UJENZI KWA AUWSA

yaani makala yote SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI HATI MILIKI NA KIBALI CHA UJENZI KWA AUWSA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI HATI MILIKI NA KIBALI CHA UJENZI KWA AUWSA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/shirika-la-nyumba-la-taifa-lakabidhi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI HATI MILIKI NA KIBALI CHA UJENZI KWA AUWSA"

Post a Comment