title : MWENYEKITI UVCCM AFUNGUA SEMINA YA KIMKAKATI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKE
kiungo : MWENYEKITI UVCCM AFUNGUA SEMINA YA KIMKAKATI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKE
MWENYEKITI UVCCM AFUNGUA SEMINA YA KIMKAKATI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKE
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chma Cha Mapinduzi Ndg Kheri Denis James akizungumza wakati akifungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM akizungumza wakati wa Kumkaribisha Mwenyekiti kufungua Semina hiyo
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala akitoa Ufafanuzi kuhusu lengo la Mafunzo haya.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Comred Kheri Denis James (kulia|) pamoja na Makamu Mwenyekiti Comred Thabia Mwita wakifurahia jambo pamoja na Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Comred Hassan Bomboko leo mara baada ya Ufunguzi waSemina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.(Picha zote na Fahadi Siraji wa Uvccm)
Picha ya Pamoja ya Viongozi washiriki wa Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma. (Picha zote na Fahadi Siraji wa Uvccm).
Hivyo makala MWENYEKITI UVCCM AFUNGUA SEMINA YA KIMKAKATI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKE
yaani makala yote MWENYEKITI UVCCM AFUNGUA SEMINA YA KIMKAKATI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI UVCCM AFUNGUA SEMINA YA KIMKAKATI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mwenyekiti-uvccm-afungua-semina-ya.html
0 Response to "MWENYEKITI UVCCM AFUNGUA SEMINA YA KIMKAKATI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKE"
Post a Comment