title : MWANAHABARI WA RELI TV BEN MWANANTALA NA SUZAN MAMKWE WAMEREMETA
kiungo : MWANAHABARI WA RELI TV BEN MWANANTALA NA SUZAN MAMKWE WAMEREMETA
MWANAHABARI WA RELI TV BEN MWANANTALA NA SUZAN MAMKWE WAMEREMETA
Mwandishi machacahri wa wa Shirika la Reli Tanzania Ben Mwanantala akiwa na mkewe Suzan Mamkwe baada ya kufunga.ndoa katika kanisa la Mwenge Parokia ya Mwenge jijini Dar es salaan na kufuatiwa na mnuso wa nguvu katika ukumbi wa Mwenge Hall. Globu ya Jamii inatoa hongera sana kwa Ben ambaye ni mfano wa kuigwa kwa wanahabari wa kwenye taasisi za umma kwa weledi wake na kujituma,
Ben mwanantala na Suzan Mamkwe katika mnuso wao baada ya kumeremeta
Ben mwanantala na Suzan Mamkwe wakiwa na furaha kwa kumeremeta
Hivyo makala MWANAHABARI WA RELI TV BEN MWANANTALA NA SUZAN MAMKWE WAMEREMETA
yaani makala yote MWANAHABARI WA RELI TV BEN MWANANTALA NA SUZAN MAMKWE WAMEREMETA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWANAHABARI WA RELI TV BEN MWANANTALA NA SUZAN MAMKWE WAMEREMETA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mwanahabari-wa-reli-tv-ben-mwanantala.html
0 Response to "MWANAHABARI WA RELI TV BEN MWANANTALA NA SUZAN MAMKWE WAMEREMETA"
Post a Comment