KAMPUNI YA PEPSI YAZINDUA SHINDANO LA JISHINDIE MAMILIONI

KAMPUNI YA PEPSI YAZINDUA SHINDANO LA JISHINDIE MAMILIONI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI YA PEPSI YAZINDUA SHINDANO LA JISHINDIE MAMILIONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI YA PEPSI YAZINDUA SHINDANO LA JISHINDIE MAMILIONI
kiungo : KAMPUNI YA PEPSI YAZINDUA SHINDANO LA JISHINDIE MAMILIONI

soma pia


KAMPUNI YA PEPSI YAZINDUA SHINDANO LA JISHINDIE MAMILIONI

Image result for nembo ya peps

Hussein Ndubikile
 Mwambawahabari
Kampuni ya SBC Tanzania Ltd inayozalisha vinywaji aina ya Pepsi, Mirinda Orange, Mirinda Fruity, Green Apple, Mountain Dew na Seven Up zote zikiwa na ujazo wa milimita 350   imezindua Shindano  linalojulikana kwa jina la  '' Jishindie Mamilioni"

Akizindua shindano hilo leo jijini Dar es Salaam Meneja Mafunzo na Uwezeshaji wa Kampuni hiyo, Rashid Chenja amesema llitatangazwa upitia radio, magazeti, mabango na vipeperushi mbalimbali huku akibainisha dhumuni ya shindano hilo  ni kuongeza unywaji soda na kuipatia jamii sehemu ya faida ili kuiwezesha kujikomboa kiuchumi.

" Shindano limezinduliwa leo na litaendeshwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga, Lindi na Mtwara hadi Januari 4 mwakani  tuna imani jamii itashirikiana nasi katika kuitumia fursa hii ya kujishindia zawadi," amesema.

 Amebainisha kuwa vizibo vya shindano hilo vitakuwa vya rangi ya silva pamoja na fedha tasilimu Sh 1000,000, Sh 500,000, Sh 10,000, Sh 5,000, Sh 1,000 na soda ya bure.

Amesisitiza kuwa ili mteja aweze kujishindia zawadi anatakiwa kununua soda jamii ya Pepsi na kubandua ganda liliopo ndani ya kizibo na kwamba ndani yake anaweza kukuta maandishi ya zawadi zilizotajwa zikiwa kwenye rangi ya dhahabu.


Amefafanua kuwa zawadi za Sh 1000,000 na Sh 500, 000 zitatolewa kuanzia  saa 4 asubuhi hadi saa 9 jioni siku za jumatatu hadi Ijumaa ambapo kwa wakazi wa Dar watachukulia kiwandani huku kwa mikoani zitatolewa kupitia mawakala.

Ameongeza kuwa mwisho kutoa zawadi ni Januari 4 mwakani na kusisitiza kuwa vinywaji vyote vinapatikana kwa bei iliyoidhinishwa ya Sh 500.

Kwa upande wake Meneja Masoko wa Dar es Salaam wa kampuni hiyo, Roselyne Bruno amewaomba wananchi kuchangamkia fursa ya kujishindia zawadi mbalimbali hizo kwa kunywa vinywaji hivyo.






Hivyo makala KAMPUNI YA PEPSI YAZINDUA SHINDANO LA JISHINDIE MAMILIONI

yaani makala yote KAMPUNI YA PEPSI YAZINDUA SHINDANO LA JISHINDIE MAMILIONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA PEPSI YAZINDUA SHINDANO LA JISHINDIE MAMILIONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/kampuni-ya-pepsi-yazindua-shindano-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI YA PEPSI YAZINDUA SHINDANO LA JISHINDIE MAMILIONI"

Post a Comment