MUFTI WA TANZANIA AZINDUA MAANDALIZI YA IJITIMAI YA KIMATAIFA ITAYOFANYIKA T ZANZIBAR

MUFTI WA TANZANIA AZINDUA MAANDALIZI YA IJITIMAI YA KIMATAIFA ITAYOFANYIKA T ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MUFTI WA TANZANIA AZINDUA MAANDALIZI YA IJITIMAI YA KIMATAIFA ITAYOFANYIKA T ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MUFTI WA TANZANIA AZINDUA MAANDALIZI YA IJITIMAI YA KIMATAIFA ITAYOFANYIKA T ZANZIBAR
kiungo : MUFTI WA TANZANIA AZINDUA MAANDALIZI YA IJITIMAI YA KIMATAIFA ITAYOFANYIKA T ZANZIBAR

soma pia


MUFTI WA TANZANIA AZINDUA MAANDALIZI YA IJITIMAI YA KIMATAIFA ITAYOFANYIKA T ZANZIBAR


Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Fiy Sabilillahi Tabligh Markaz Zanzibar Alhaji Shekh. Mwalim Hafidhi Jabu akimkaribisha Mufti wa Tanzania Shekh. Abubakari Zubeir Ali katika viwanja Markaz Kidoti Mkoa Kaskazini Unguja.
Mufti wa Tanzania Shekh. Abubakari Zubeir Ali akizindua rasmin maandalizi ya Ijitimai ya kimataifa itayofanyika tarehe 22/02/2019 katika Kijiji cha Kidoti Mkoa Kaskazini Unguja uzinduzi huo umefanyia Msikiti wa Jumuiya ya Fiy Sabilillahi Tabligh Markaz Kidoti.
Mufti wa Tanzania Shekh. Abubakari Zubeir Ali akimsalimia Bii. Mwajuma juma mkaziwa Kidoti alietoa kiwanja kwa ajili ya kujengwa Mskiti huo.Picha na Makame Mshenga.

Mufti wa Tanzania Shekh. Abubakari Zubeir Ali akiwa na mwenyeji wake, Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja Vuai Mwinyi Khamis wa kwanza (kulia) na  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Fiy Sabilillahi Tabligh Markaz Alhaji Mwalim Hafidhi Jabu kukagua Mskiti unaotarajiwa kufanyika Ijitimai ya kimataifa huko Kidoti.
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja Vuai Mwinyi Khamis akimkaribisha Mufti wa Tanzania Shekh. Abubakari Zubeir Ali katika uzinduzi wa maandalizi ya Ijitimai ya kimataifa itayofanyika tarehe 22/02/2019 huko kijiji cha Kidoti Mkoa Kaskazini Unguja.


Hivyo makala MUFTI WA TANZANIA AZINDUA MAANDALIZI YA IJITIMAI YA KIMATAIFA ITAYOFANYIKA T ZANZIBAR

yaani makala yote MUFTI WA TANZANIA AZINDUA MAANDALIZI YA IJITIMAI YA KIMATAIFA ITAYOFANYIKA T ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MUFTI WA TANZANIA AZINDUA MAANDALIZI YA IJITIMAI YA KIMATAIFA ITAYOFANYIKA T ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mufti-wa-tanzania-azindua-maandalizi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MUFTI WA TANZANIA AZINDUA MAANDALIZI YA IJITIMAI YA KIMATAIFA ITAYOFANYIKA T ZANZIBAR"

Post a Comment