Mratibu wa Umoja wa Ilala awawezesha Polisi Jamii Tabata

Mratibu wa Umoja wa Ilala awawezesha Polisi Jamii Tabata - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mratibu wa Umoja wa Ilala awawezesha Polisi Jamii Tabata, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mratibu wa Umoja wa Ilala awawezesha Polisi Jamii Tabata
kiungo : Mratibu wa Umoja wa Ilala awawezesha Polisi Jamii Tabata

soma pia


Mratibu wa Umoja wa Ilala awawezesha Polisi Jamii Tabata


Mwambawahabari
Mratibu wa Umoja wa Ilala yetu Heri Shaaban (kushoto)akimkabidhi Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tabata Mtamban Brigita Nchimbi(kulia)Reflectar   kwa ajili ya Polisi Jamii wa Mtaa huo Dar es Salaam leo, ambapo watazitumia kama sare yao, Mratibu wa Ilala Heri shaaban Tabata Mtamban ni mlezi wa  Polisi Jamii (katikati )Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Mtambani Mjata Hizza.

Mwambawahabari

POLISI Jamii Tabata Mtambani wapokea msaada wa reflectar   kwa ajili ya walinzi vilivyotolewa na Mratibu wa Ilala  Heri Shaaban ..

 Akizungumza wakati wa kukakibidhi msaada huo Heri Shaaban alisema suala la ulinzi ni letu sote kila mtu ana wajibu wa kulinda na kusaidia Polisi Jamii.

Shaaban alisema   yeye ni mlezi wa Sungusungu wa Tabata Mtambani awali kabla kukabidhi msaada huo aliwakabidhi virungu kwa ajii ya kutumika katika lindo..

"Awali nilikabidhi virungu ili wavitumie katika lindo nyakati za usiku kwani wanakutana na changamoto nyingi katika lindo ikiwemo vitendea kazi ,wakati nawapa virungu waliomba niwatafutie   sare ili usiku waweze kutambulika kwa urahisi  ambapo leo nimetekeleza kwa kugawa Reflectar"alisema Shaaban

Shaaban alisema  kila sungusungu  ambaye atakuwa Tabata Mtambani atavaa hiyo  Reflectar itakuwa na maandishi  ya kuwatambulisha Polisi Jamii Tabata Mtambani   mda wote wanalinda mchana na usiku na uwepo wao kwa sasa imesaidia uhalifu kupungua katika mtaa huo wananchi wanaishi kwa amani.

Shaban aliwataka wananchi wa Mtaa huo kulipa ada ya ulinzi kwa wakati ili ziweze kutumika katika uwendeshaji wa ofisi yao na kununulia vitendea kazi.

Aidha pia aliwataka Polisi Jamii  wawe wamoja wasiweke mpasuko na viongozi wao.

Alisema Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala Salum Hamduni anatarajia kuzindua rasmi  Polisi Jamii Tabata Mtambani hivi karibuni.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tabata Mtambani Brigita  Nchimbi alipongeza kupokea msaada huo katika Mtaa wake kwa sasa uhalifu umepungua Jeshi la Mtaa huo linafanya kazi nzuri wanashirikiana na Polisi wa Kituo kikuu cha Tabata.

Naye Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Tabata Mtambani Mjata Hiza alisema Ulinzi Shirikishi ni wetu sote  ni moja ya jukumu lake katika Mtaa kuangalia usalama wa Mtaa wake   .

Mjata alisema katika Mtaa wa Tabata Mtambani ana mikakati ya kuongeza askari wa kulinda na kuboresha  mazingira yao ya kazi.




Hivyo makala Mratibu wa Umoja wa Ilala awawezesha Polisi Jamii Tabata

yaani makala yote Mratibu wa Umoja wa Ilala awawezesha Polisi Jamii Tabata Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mratibu wa Umoja wa Ilala awawezesha Polisi Jamii Tabata mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mratibu-wa-umoja-wa-ilala-awawezesha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mratibu wa Umoja wa Ilala awawezesha Polisi Jamii Tabata"

Post a Comment