MBATIA AWEKA WAZI ALICHOTETA NA RAIS MAGUFULI WIKI CHACHE ZILIZOPITA.

MBATIA AWEKA WAZI ALICHOTETA NA RAIS MAGUFULI WIKI CHACHE ZILIZOPITA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBATIA AWEKA WAZI ALICHOTETA NA RAIS MAGUFULI WIKI CHACHE ZILIZOPITA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBATIA AWEKA WAZI ALICHOTETA NA RAIS MAGUFULI WIKI CHACHE ZILIZOPITA.
kiungo : MBATIA AWEKA WAZI ALICHOTETA NA RAIS MAGUFULI WIKI CHACHE ZILIZOPITA.

soma pia


MBATIA AWEKA WAZI ALICHOTETA NA RAIS MAGUFULI WIKI CHACHE ZILIZOPITA.


Kilimanjaro.

MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia amewamegea siri wananchi wa mji mdogo wa Himo juu ya mazungumzo yake na Rais Dk. John Magufuli, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Alidai alikwenda kumueleza malalamiko ya wananchi kuhusu amri ya Mkuu wa Wilaya ya Moshi ya kusitisha ujenzi wa barabara na kusababisha hasara ya mabilioni ya shilingi.

“Haya yote nimemueleza Mheshimiwa Rais (Magufuli) niwe mkweli, nilibahatika hapo katikati Mheshimiwa Rais akaniita akasema hivi, narejea sauti ya Rais aliniambia na ameshaagiza ofisi zake na wengine wameniita Dodoma, barabara za wana Vunjo atachangia yeye binafsi kama John Pombe Magufuli, pili serikali yake itachangia na tatu atakuja kama Amiri Jeshi Mkuu kufungua barabara hizi yeye mwenyewe kama John Pombe Magufuli,”alisema

Mbatia alikuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Makuyuni katika Mamlaka ya Mji mdogo wa Himo, Wilaya ya Moshi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya ghalani. 

Mradi wa upanuzi na ujenzi barabara za vijijini kwa kiwango cha changarawe unaodaiwa kusisitishwa katika Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, unahusisha barabara zenye urefu wa kilometa 389.3 ambazo zilikuwa zigharimu Sh. bilioni 12.077 kutokana na utafiti wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) wa mwaka huu.
 Mbunge wa jimbo la Vunjo ,Mh James Mbatia akizungumza wakati wa mkutano wake uliofanyika katika Mji Mdogo wa Himo. 
 Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mh ,James Mbatia wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika jimboni hapo. 
 Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia akifanya dua na baadhi ya viongozi mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ghalani Mji Mdogo wa Himo.




Hivyo makala MBATIA AWEKA WAZI ALICHOTETA NA RAIS MAGUFULI WIKI CHACHE ZILIZOPITA.

yaani makala yote MBATIA AWEKA WAZI ALICHOTETA NA RAIS MAGUFULI WIKI CHACHE ZILIZOPITA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBATIA AWEKA WAZI ALICHOTETA NA RAIS MAGUFULI WIKI CHACHE ZILIZOPITA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mbatia-aweka-wazi-alichoteta-na-rais.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBATIA AWEKA WAZI ALICHOTETA NA RAIS MAGUFULI WIKI CHACHE ZILIZOPITA."

Post a Comment