title : KITUO CHA UWEZESHAJI SEKTA YA USAFIRI WA KATI WAKUTANA KUJADILI SERA MBALIMBALI
kiungo : KITUO CHA UWEZESHAJI SEKTA YA USAFIRI WA KATI WAKUTANA KUJADILI SERA MBALIMBALI
KITUO CHA UWEZESHAJI SEKTA YA USAFIRI WA KATI WAKUTANA KUJADILI SERA MBALIMBALI
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Mkutano wa Kituo cha Uwezeshaji wa Usafiri wa Kati (CCTTFA), kimekutana na wadau kutoka nchi tofauti katika Ukanda wa Jangwa la Sahara kujadili sera mbalimbali.
Mkutano huo utakaofanyika kwa siku tatu kuanzia Novemba 28- 30 mwaka huu utazungumzia mpango wa sera za usafiri wa Afrika eneo la kiuchumi jamii ya ushirikiano wa kamati ya usafiri.
Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mtendaji wa CCTTFA, Capt Dieudonne Dukundane amesema mkutano huu unalenga kujadili masuala mbalimbali ya Kiuchumi kwa nchi washirika na kuhakikisha mafanikio yanafikiwa.
Amesema, CCTTFA ni kituo kinachokutanisha nchi ya Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia, Jamhutri ya Kidemokrasia Congo, Rwanda na Burundi na kukutana pamoja ni kwa ajili ya kufahamu Tanzania wanafanikiwaje kwenye sekta ya usafiri hususani Reli na barabara na hata sisi pia tunajifunza baadhi ya vitu kutoka kwao.
"Tumekutana katika mkutano huu wa siku tatu lengo letu likiwa ni kujadiliana na masuala mbalimbali pia wao wanakuja pia kujifunza Tanzania imefanikiwa kwa namna ipi kwenye sekta ya usafiri hasa kwenye reli na barabara ikiwemo na sisi wenyewe kujifunza baadhi ya vitu kutoka kwao,"amesema Dukundane.
Katibu Mtendaji wa Kituo cha Uwezeshaji wa Usafiri wa Kati (CCTTFA), Capt Dieudonundne Dukane akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa mkutano huo utakaofanyika kuanzia Novemba 28- 30 mwaka ukiwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali ya Kiuchumi kwa nchi washirika na kuhakikisha mafanikio yanafikiwa.
Washiriki wa mkutano wa mwaka wa kituo cha Uwezeshaji wa Usafiri wa Kati (CCTTFA) wakiwa katika picha ya pamoja.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>
Hivyo makala KITUO CHA UWEZESHAJI SEKTA YA USAFIRI WA KATI WAKUTANA KUJADILI SERA MBALIMBALI
yaani makala yote KITUO CHA UWEZESHAJI SEKTA YA USAFIRI WA KATI WAKUTANA KUJADILI SERA MBALIMBALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KITUO CHA UWEZESHAJI SEKTA YA USAFIRI WA KATI WAKUTANA KUJADILI SERA MBALIMBALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/kituo-cha-uwezeshaji-sekta-ya-usafiri.html
0 Response to "KITUO CHA UWEZESHAJI SEKTA YA USAFIRI WA KATI WAKUTANA KUJADILI SERA MBALIMBALI"
Post a Comment