title : JYOTI KISANJI MWANAMKE MFUPI ZAIDI MWENYE NDOTO YA UIGIZAJI
kiungo : JYOTI KISANJI MWANAMKE MFUPI ZAIDI MWENYE NDOTO YA UIGIZAJI
JYOTI KISANJI MWANAMKE MFUPI ZAIDI MWENYE NDOTO YA UIGIZAJI

Akizungumza na jarida la Wider World Ranjana ambaye ni mama mzazi wa Jyoti amesema kuwa binti yake huyo alionekana na matatizo hayo alipofika miaka 5 na kwa mujibu wa madaktari walisema kuwa na tatizo la dwarfism linalofahamika kama achondroplasia na wakathibitisha kuwa kimo chake hakiwezi kuongezeka.
Jyoti alivuma sana mwaka 2009 alipoonekana kwenye televisheni ya Fuji ambapo katika kipindi hicho alipimwa na kugundulika kuwa na futi 2 pekee na ikathibitika kuwa ni mwanamke pekee anayeishi na wakati huo alikuwa na miaka 15 na alieleza kuvutiwa kwake na masuala ya urembo na alieleza kuwa ana ndoto za kuja kuwa muigizaji.
Hadi kufika Desemba 2011 alipofikisha miaka 18 historia yake ilizidi kukua na kuwa mwanamke mfupi zaidi anayeishi.
Amehudhuria matamasha mbalimbali na kukutana na aliyekuwa mwanaume mfupi zaidi duniani Chandra Dangi na amewahi kutokea katika wimbo wa Bhangra Singh na katika makala ya Bodyshock iliyojulikana kama Two Foot Tall Teen.
Hivyo makala JYOTI KISANJI MWANAMKE MFUPI ZAIDI MWENYE NDOTO YA UIGIZAJI
yaani makala yote JYOTI KISANJI MWANAMKE MFUPI ZAIDI MWENYE NDOTO YA UIGIZAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JYOTI KISANJI MWANAMKE MFUPI ZAIDI MWENYE NDOTO YA UIGIZAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/jyoti-kisanji-mwanamke-mfupi-zaidi.html
0 Response to "JYOTI KISANJI MWANAMKE MFUPI ZAIDI MWENYE NDOTO YA UIGIZAJI"
Post a Comment