Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakayakiungo :
Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya
Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya
Rais John Magufuli amemmwagia sifa mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya na kusema kuwa mwili na tabia yake ni za CUF lakini roho na damu yake ni ya CCM.
Ameyasema hayo leo Jumapili, Julai 23 wakati wa ziara yake mkoani Tabora na kuwataka wabunge wa CCM kumpa ushirikiano anapofanya shughuli za maendeleo.
“Inawezakana hata siku zijazo akahamia CCM, damu yake na roho yake ni CCM ingawa mwili na maneno na tabia zake ni CUF,” amesema.
Amesema ni mara kumi uwe na CUF, Chadema au NCCR anayefanya mambo ya CCM kuliko uwe na CCM anayefanya mambo ya vyama vingine.
“Hasara yake ni kubwa mno, mnafikiri ni mwenzenu wakati siyo mwenzenu, nani hayajui haya hata wakati wa kampeni yalitokea unafikiri siyajui,” amesema.
Amewataka wabunge wa CCM kumpa ushirikiano Sakaya na kuwataka wasimbague kama asivyowabagua.
Hivyo makala Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya
yaani makala yote Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-magufuli-ammwagia-sifa-mbunge-wa.html
Related Posts :
MENO YA TEMBO NA UHUJUMU UCHUMI VYAMFIKISHA MFANYABIASHARA KORTINI
Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii
MFANYABIASHARA Isack Mwasenga (40) Mkazi wa Kanga Chunya mkoani Mwanza, amefikishwa katika M… Read More...
DKT. KIJAJI ASHITUKIA GHARAMA ZA MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE MKOANI MOROGORONa Peter Haule, WFM, Morogoro
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amuagiza uongozi wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ku… Read More...
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI ARIDHISHWA NA KASI YA UKALIMISHWAJI WA OFISI YAKE
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi, amesema, anaridhishwa sana na kasi ya ukamilishaji wa jeng… Read More...
MIPANGO YA SERIKALI KUHUSU GESI YA KUSINI IKO PALEPALE - MGALUNa Veronica Simba – Lindi
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewataka watanzania kuondoa shaka kuhusu mipango ya serikali kufuatia gesi … Read More...
MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB ABDULMAJID NSEKELA AOMBOLEZA KIFO CHA RUGE MUTAHABA
Kwa niaba ya familia nzima ya Benki ya CRDB nitoe pole kwa familia nzima ya Clouds Media Group, familia ya Prof. Mutahaba, Tasnia nzima ya … Read More...
0 Response to "Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya"
Post a Comment