DC Katambi atinga Stesheni ya Dodoma, Atishia Kuwatumbua

DC Katambi atinga Stesheni ya Dodoma, Atishia Kuwatumbua - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC Katambi atinga Stesheni ya Dodoma, Atishia Kuwatumbua, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC Katambi atinga Stesheni ya Dodoma, Atishia Kuwatumbua
kiungo : DC Katambi atinga Stesheni ya Dodoma, Atishia Kuwatumbua

soma pia


DC Katambi atinga Stesheni ya Dodoma, Atishia Kuwatumbua

Charles James

MKUU wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobas Katambi ametishia kuwatumbua watumishi wa Stesheni ya Treni endapo hawatotekeleza maagizo maagizo yake.

DC Katambi ametoa kauli hiyo leo alipofika katika stesheni hiyo baada ya kupigiwa simu na abiria waliokua wamekwama tangu jana kufuatia treni mbili kukutana.

Mkuu huyo wa Wilaya pamoja na kuzungumza na abiria hao ambao aliwaomba kutulia huku akiuagiza uongozi wa Reli kuwatafutia usafiri mwingine wa kuwapeleka jijini Dar es Salaam pia alikagua mazingira ya stesheni hiyo kutokana na kulalamikiwa na wasafiri hao.

“ Nimepita kukagua mazingira ya stesheni yetu, nimekutana na mambo mengi ya hovyo ambayo yanaweza kutatulika ili kuondoa kero za abiria wetu ambao kimsingi ni Watanzania wenzetu ambao wanalipa kodi ya Nchi yao kwa kulipa nauli.

“ Stesheni kubwa kama hii haina vyoo vya kutosha na vilivyopo vimeziba kutokana na wingi wa vinyesi, maji hakuna pia kwa sababu stesheni inadaiwa na nimewaagiza kulipa deni wanalodaiwa. Na wasipotekeleza basi wajue nitawatumbua,” amesema DC Katambi.
MKUU wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobas Katambi


Hivyo makala DC Katambi atinga Stesheni ya Dodoma, Atishia Kuwatumbua

yaani makala yote DC Katambi atinga Stesheni ya Dodoma, Atishia Kuwatumbua Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC Katambi atinga Stesheni ya Dodoma, Atishia Kuwatumbua mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/dc-katambi-atinga-stesheni-ya-dodoma.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC Katambi atinga Stesheni ya Dodoma, Atishia Kuwatumbua"

Post a Comment