BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI.

BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI.
kiungo : BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI.

soma pia


BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI.


Mwambawahabari
 Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mh. Zainab Abdalah ametembelea uongozi wa Benki ya Maendeleo ya kilimo nchini kufanya kikao kilichomkutanisha Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Ndg. Japhet Justine na viongozi waandamizi ambao kwa pamoja wameahidi kuifanya Pangani wilaya ya mfano na ya kimkakati kwenye mipango yao.
 Kikao hiki kimetoka na maazimio mazito kuelekea mapinduzi ya kilimo Pangani na moja kwa moja Mkurugenzi amekubali kua tayari kujenga kituo kikubwa cha ukusanyaji maziwa Pangani eneo la Madanga.


Aidha kikao kimeadhimia kuisaidia sekta ya uvuvi Pangani kuhakikisha inaleta mapinduzi ya uchumi kwa wavuvi.
..
Muhimu zaidi mazungumzo yamefanyika na kuweka misingi itakayowasaidia vijana wa Pangani hasa waliotayari kuungana na kunufaika na mipango ilioazimiwa na uongozi mzima kuahidi hivi karibuni kufika Pangani kuchagiza yaliopangwa na kujionea nini zaidi wanaweza kufanya na Pangani.

Mkuu wa Wilaya Pangani amemshukuru Kaimu Mkurugenzi Mtendaji kwa ufanisi wake na utayari aliounesha,kasi uwajibikaji na zaidi alivo tayari kujitoa kwa ajili ya Maendeleo ya nchi yetu.
Pangani&TADB


Hivyo makala BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI.

yaani makala yote BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/benki-ya-maendeleo-ya-kilimo-tadb_7.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI."

Post a Comment