Barclays yahamasisha watanzania kutumia huduma za kidigitali

Barclays yahamasisha watanzania kutumia huduma za kidigitali - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Barclays yahamasisha watanzania kutumia huduma za kidigitali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Barclays yahamasisha watanzania kutumia huduma za kidigitali
kiungo : Barclays yahamasisha watanzania kutumia huduma za kidigitali

soma pia


Barclays yahamasisha watanzania kutumia huduma za kidigitali

 Meneja Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidigitali wa Barclays Tanzania, Jesse Jackson (kushoto), na Mkuu wa  Mtandao wa Matawi wa benki hiyo, John Beja (kulia), wakikabidhi zawadi ya television kwa Bi. Bright Mwanga mmoja wa washindi wa kampeni inayoendelea ya benki hiyo iliyopewa jina la ‘Tap Tap and Win’ inayohamasisha wateja kutumia huduma za kibenki kwa njia ya kidigitali. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.

 Mshindi wa kampeni ya huduma za kidigitali wa Benki ya Barclays, Bi. Bright Mwanga (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo. Kushoto kwake ni, Meneja Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidigitrali wa benki hiyo, Jesse Jackson (kushoto) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa benki hiy, John Beja. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Mkuu wa mtawi.
Waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakirekodi tukio hilo. Kampeni ya huduma za kibenki kwa njia za kidigitali inahamasisha wateja kutumia huduma za kibenki kwa njia za kidigitali. Anayezungmza katikakati ni Meneja Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidigitali wa Barclays, Jesse Jackson.   


Hivyo makala Barclays yahamasisha watanzania kutumia huduma za kidigitali

yaani makala yote Barclays yahamasisha watanzania kutumia huduma za kidigitali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Barclays yahamasisha watanzania kutumia huduma za kidigitali mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/barclays-yahamasisha-watanzania-kutumia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Barclays yahamasisha watanzania kutumia huduma za kidigitali"

Post a Comment