Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja afanya ziara ya kushtukiza Wilayani na kujionea madudu

Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja afanya ziara ya kushtukiza Wilayani na kujionea madudu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja afanya ziara ya kushtukiza Wilayani na kujionea madudu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja afanya ziara ya kushtukiza Wilayani na kujionea madudu
kiungo : Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja afanya ziara ya kushtukiza Wilayani na kujionea madudu

soma pia


Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja afanya ziara ya kushtukiza Wilayani na kujionea madudu




Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, Mheshmiwa Idrissa Kitwana Mustafa afanya ziara ya kushtukiza sehemu Mbali Mbali ndani ya Wilaya ya Kusini usiku wa kuamkia leo.

Katika ziara hiyo Mkuu wa Wilaya alifika Kizimkazi Mkunguni na kujionea Vijana kadhaa wakitokea mjini na wengine ni wanafunzi wakiwa kwenye sherehe ya "Day Out" huku wakicheza Mziki tena kinyume na utaratibu.

Mheshmiwa Idrissa alifika pia hoteli inayoitwa "Before" Iliyopo Paje na kushuhudia Mziki ukipigwa kinyume na utaratibu.

Aidha alitembelea kijiji Cha Bwejuu kwenye hoteli inayoitwa "Kwa Lila" na kushuhudia pia Mziki ukipigwa kinyume na utaratibu.

Mkuu huyo wa Wilaya alifanya pia ziara kwa watu wanaosadikiwa kuuza pombe ya kienyeji na kufanikiwa kukuta pombe aina ya "Bombonya".

Watu kadhaa waliokutwa na makosa Mbali Mbali kwenye ziara hiyo wapo chini ya ulinzi wa Jeshi la  Polisi Wilaya ya Kusini Unguja kwa hatua za kisheria.


Hivyo makala Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja afanya ziara ya kushtukiza Wilayani na kujionea madudu

yaani makala yote Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja afanya ziara ya kushtukiza Wilayani na kujionea madudu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja afanya ziara ya kushtukiza Wilayani na kujionea madudu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mkuu-wa-wilaya-ya-kusini-unguja-afanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja afanya ziara ya kushtukiza Wilayani na kujionea madudu"

Post a Comment