BABA AUA WATOTO WAKE WATATU AKIWEMO WA MIEZI 10 KWA UGOMVI BAINA YAKE NA MKEWE

BABA AUA WATOTO WAKE WATATU AKIWEMO WA MIEZI 10 KWA UGOMVI BAINA YAKE NA MKEWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BABA AUA WATOTO WAKE WATATU AKIWEMO WA MIEZI 10 KWA UGOMVI BAINA YAKE NA MKEWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BABA AUA WATOTO WAKE WATATU AKIWEMO WA MIEZI 10 KWA UGOMVI BAINA YAKE NA MKEWE
kiungo : BABA AUA WATOTO WAKE WATATU AKIWEMO WA MIEZI 10 KWA UGOMVI BAINA YAKE NA MKEWE

soma pia


BABA AUA WATOTO WAKE WATATU AKIWEMO WA MIEZI 10 KWA UGOMVI BAINA YAKE NA MKEWE

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani
JESHI la polisi mkoani hapa limethibitisha kutokea kwa vifo vya watoto watatu akiwemo wa miezi kumi ,waliouawa kwa kunyweshwa sumu na baba yao mzazi. Chanzo cha kutenda kitendo hicho cha kikatili kinadaiwa ni kutokana na ugomvi mkubwa kati ya wazazi wa watoto hao. 
Kamanda wa polisi mkoani humo ACP
Wankyo Nyigesa (pichani, mbele)  alieleza tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana huko maeneo ya Kibindu ,Chalinze . Aliwataja watoto hao kuwa ni pamoja na Shaila Salehe miaka sita ,Nurdin Salehe (4)na Sabrat Salehe mwenye miezi kumi waliouawa kwa kunyweshwa sumu ambayo ni dawa ya kuulia magugu iitwayo Twiga Amine na baba yao mzazi Salehe Masokola (22),mkazi wa kijiji cha Kunwe, Mvomero mkoa wa Morogoro . 
Kamanda  Wankyo alibainisha,baba wa watoto hao alikuwa na mgogoro na mkewe ambae ndiye mama wa watoto .
"Mtuhumiwa alipowafuata watoto kutoka kwa mama mkwe wake kwa madai kwamba anakwenda kucheza nao na angewarudisha baadae " alifafanua Wankyo. Alielezea,mtuhumiwa aliwapakia marehemu kwenye baiskeli kutoka Kunke hadi kitongoji cha Ditele, Kibindu, ambapo aliwanywesha dawa hiyo kwa kuwachanganyia na juisi hivyo kupelekea vifo vya watoto hao. Kamanda huyo alisema katika eneo la tukio kumeokotwa chupa mbili za juisi zilizotumika ,chupa ya dawa na matapishi ambavyo vilichukuliwa kwa uchunguzi zaidi. 
 "Mara baada ya tukio mtuhumiwa alikunywa sumu kwa lengo la kutaka kujiua lakini aliokolewa na watu kisha kukimbizwa katika hospital ya mission Bwagala wilaya ya Mvomero kwa matibabu" Wankyo aliweka bayana. Mpaka sasa hali yake sio nzuri kwani yupo katika chumba cha wagonjwa mahututi akiwa chini ya uangalizi wa polisi . 


Hivyo makala BABA AUA WATOTO WAKE WATATU AKIWEMO WA MIEZI 10 KWA UGOMVI BAINA YAKE NA MKEWE

yaani makala yote BABA AUA WATOTO WAKE WATATU AKIWEMO WA MIEZI 10 KWA UGOMVI BAINA YAKE NA MKEWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BABA AUA WATOTO WAKE WATATU AKIWEMO WA MIEZI 10 KWA UGOMVI BAINA YAKE NA MKEWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/baba-aua-watoto-wake-watatu-akiwemo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BABA AUA WATOTO WAKE WATATU AKIWEMO WA MIEZI 10 KWA UGOMVI BAINA YAKE NA MKEWE"

Post a Comment