MKURUGEZI ILALA AKUTANA NA WALIMU WAKUU KUWEKA MIKAKATI KUINUA SEKTA YA ELIMU.

MKURUGEZI ILALA AKUTANA NA WALIMU WAKUU KUWEKA MIKAKATI KUINUA SEKTA YA ELIMU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURUGEZI ILALA AKUTANA NA WALIMU WAKUU KUWEKA MIKAKATI KUINUA SEKTA YA ELIMU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKURUGEZI ILALA AKUTANA NA WALIMU WAKUU KUWEKA MIKAKATI KUINUA SEKTA YA ELIMU.
kiungo : MKURUGEZI ILALA AKUTANA NA WALIMU WAKUU KUWEKA MIKAKATI KUINUA SEKTA YA ELIMU.

soma pia


MKURUGEZI ILALA AKUTANA NA WALIMU WAKUU KUWEKA MIKAKATI KUINUA SEKTA YA ELIMU.

Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Ilala Eliza Mgonyani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Ilala Bw. Jumanne Shauri.
Walimu Wakuu wa shule za Sekondari Manispaa ya Ilala wakiwa katika mkutano na Mkurugezi Mtendaji wa Manispaa ya ilala Bw. Jumanne Shauri.
Na Rukanuga, Dar es Salaam.
Manispaa ya Ilala imetenga milioni 800 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa ili kupunguza changamoto ya ukosefu wa madarasa kwa wanafunzi waoingia kidato cha kwanza.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika kikao chake na Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari, Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Ilala Bw. Jumanne Shauri, amesema kuwa ujenzi wa madarasa hayo yatasaidia kuleta chachu ya maendeleo katika sekta ya elimu.

Bw. Shauri amesema kuwa katika Manispaa ya ilala kuna wanafunzi 2I,000 wamefauru kuingia kidato cha kwanza, lakini nafasi iliyokuwepo ni wanafunzi I2,000 huku 90 wakikosa nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza  changamoto ya ukosefu wa madarasa.

"Ili kufikia malengo tumeweka mikakati ya kuinua sekta ya elimu katika Manispaa ya ilala na kuongeza idadi ya ufauru wa kidato cha pili na nne"amesema Bw Shauri.

Amefafanua kuwa katika Manispaa ya ilala kwa sasa kuna upungufu wa madarasa 250, huku mwezi desemba mwaka huu wanatarajia kuanza ujenzi wa madarasa I27.

"Naomba wadau mbalimbali wa elimu waweze kusaidia kujenzi wa madarasa kwa kuchangia mifuko ya saruji, michanga, matofali ili tufikie lengo husika" amesema Bw. Shauri.

Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Ilala Eliza Mgonyani, amesema kuwa kikao cha mkurugenzi wa manispaa ilala na wakuu wa shule za sekondari kimeleta ufanisi katika utendaji.

Amesema kuwa kikao kimeleta ufumbuzi wa kutatua changamoto ya kujenga madara kwa ajili ya wanafunzi 9,000 waliokosa nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza hapo mwakani kutokana na ufinyu wa vyumba vya kujisomea.

"Ni hatua kubwa tutapiga kupitia mikakati ya Mkurugezi katika kuhakikisha tunapiga hatua katika sekta elimu" amesema Mgonyani.


Hivyo makala MKURUGEZI ILALA AKUTANA NA WALIMU WAKUU KUWEKA MIKAKATI KUINUA SEKTA YA ELIMU.

yaani makala yote MKURUGEZI ILALA AKUTANA NA WALIMU WAKUU KUWEKA MIKAKATI KUINUA SEKTA YA ELIMU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGEZI ILALA AKUTANA NA WALIMU WAKUU KUWEKA MIKAKATI KUINUA SEKTA YA ELIMU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mkurugezi-ilala-akutana-na-walimu-wakuu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKURUGEZI ILALA AKUTANA NA WALIMU WAKUU KUWEKA MIKAKATI KUINUA SEKTA YA ELIMU."

Post a Comment