Zitto Kabwe atoaUjumbe Mzito kwa CCM Kuhusu Rushwa Kwenye Chaguzi Mbalimbali

Zitto Kabwe atoaUjumbe Mzito kwa CCM Kuhusu Rushwa Kwenye Chaguzi Mbalimbali - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zitto Kabwe atoaUjumbe Mzito kwa CCM Kuhusu Rushwa Kwenye Chaguzi Mbalimbali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zitto Kabwe atoaUjumbe Mzito kwa CCM Kuhusu Rushwa Kwenye Chaguzi Mbalimbali
kiungo : Zitto Kabwe atoaUjumbe Mzito kwa CCM Kuhusu Rushwa Kwenye Chaguzi Mbalimbali

soma pia


Zitto Kabwe atoaUjumbe Mzito kwa CCM Kuhusu Rushwa Kwenye Chaguzi Mbalimbali

 Image result for picha za zitto kabwe

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe amefunguka kuwa suala la rushwa limepigiwa kelele sana na vyama vya upinzani nchini, hivyo basi chama tawala kilitazame hilo kupitia vikao vyake vya ndani.


Zitto amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa 'twitter' ambapo ameandika kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally azungumzie mambo yanayoendelea nchini katika vikao vya ndani na asiishie kuzungumza kwenye majukwaa ya nje pekee.

“Upinzani umelalamika sana suala la rushwa kwenye uchaguzi, tuangalie hili suala la chaguzi za marudio. Wananchi wamechoshwa na siasa za hamahama ya wabunge na madiwani, hilo nalo mwalimu Bashiru alizungumzie kwenye vikao vya CCM”, ameandika Zitto.

Ameongeza kuwa , “Siasa za nyimbo za mbele kwa mbele ni za CCM, sasa ni vyema mwalimu Bashiru akaeleza hayo katika vikao vya kamati Kuu na Halmashauri kuu ya chama chake, asiishe kwenye MVIWATA”.

Hayo yamekuja baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally kudai kuwa vitendo vya rushwa na kutowajibika vimesababisha wananchi kupuuza uchaguzi na kuuona kama maigizo hivyo kupelekea idadi ya kura za chama chake kupungua kutokana na wapiga kura kutokuwa na imani na uchaguzi.

Dkt. Bashiru alitoa kauli hiyo Oktoba 4, 2018 mjini Morogoro katika Kongamano la Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) alipokuwa akizungumzia kuhusu umuhimu wa wananchi kuiwajibisha serikali.
Advertisement


Hivyo makala Zitto Kabwe atoaUjumbe Mzito kwa CCM Kuhusu Rushwa Kwenye Chaguzi Mbalimbali

yaani makala yote Zitto Kabwe atoaUjumbe Mzito kwa CCM Kuhusu Rushwa Kwenye Chaguzi Mbalimbali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zitto Kabwe atoaUjumbe Mzito kwa CCM Kuhusu Rushwa Kwenye Chaguzi Mbalimbali mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/zitto-kabwe-atoaujumbe-mzito-kwa-ccm.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zitto Kabwe atoaUjumbe Mzito kwa CCM Kuhusu Rushwa Kwenye Chaguzi Mbalimbali"

Post a Comment