WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUITEMBELEA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUITEMBELEA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUITEMBELEA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUITEMBELEA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA
kiungo : WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUITEMBELEA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA

soma pia


WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUITEMBELEA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA



Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed kulia akifanya ziara ya kutembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja kuangalia Miradi na mafanikio mbalimbali yanayo patikana katika hospitali hiyo.
Daktari wa Hospitali ya Makunduchi Vuai Abdalla (MD) akimuelezea Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed maendeleo na changamoto zinazowakabili katika Hospitali hiyo.
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akisalimiana na Mzazi Asia Issa Hassan mkaazi wa Makunduchi aliyekuja kujifungua katika Hospitali hiyo na kumuelezea furaha yake ya kufuata uzazi wa Mpango.
Muonekano wa Jengo litakalotumika kama Makaazi ya Madaktari kwa ajili ya kuondoa usumbufu wa Madaktari waliokuwa hawana nyumba ya kuishi katika Hospitali hiyo.
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akimsikiliza Mpishi wa kituo hicho Suleiman Mohammed Suleiman aliyekuwa akimuelezea changato wanazokabiliana nazo katika kutoa huduma ya chakula. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar


Hivyo makala WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUITEMBELEA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA

yaani makala yote WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUITEMBELEA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUITEMBELEA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/waziri-wa-afya-zanzibar-afanya-ziara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUITEMBELEA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA"

Post a Comment