title : WAKAAZI WA SIMIYU WAFURAHIA BIDHAA NDANI YA BANDA LA TIGO MAONESHO YA NANENANE
kiungo : WAKAAZI WA SIMIYU WAFURAHIA BIDHAA NDANI YA BANDA LA TIGO MAONESHO YA NANENANE
WAKAAZI WA SIMIYU WAFURAHIA BIDHAA NDANI YA BANDA LA TIGO MAONESHO YA NANENANE
Wakaazi mbali mbali wa Mkoa wa Simiyu wakipatiwa huduma na mtoa huduma waTigo, Emmanuel Pius katika harakati za kununua simu za mkononi zinazotolewa kwa punguzo la bei na kampuni ya mawasiliano ya Tigo katika maonesho ya Kitaifa ya Nane Nane yanayoendelea katika Uwanja wa Nyakabindi uliopo katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mkoa wa Simiyu.
Sehemu ya Wakaazi mbali mbali wa Mkoa wa Simiyu wakipatiwa huduma huduma kutoka kwa wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo katika maonesho ya Kitaifa ya Nane Nane yanayoendelea katika Uwanja wa Nyakabindi uliopo katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mkoa wa Simiyu.
Hivyo makala WAKAAZI WA SIMIYU WAFURAHIA BIDHAA NDANI YA BANDA LA TIGO MAONESHO YA NANENANE
yaani makala yote WAKAAZI WA SIMIYU WAFURAHIA BIDHAA NDANI YA BANDA LA TIGO MAONESHO YA NANENANE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKAAZI WA SIMIYU WAFURAHIA BIDHAA NDANI YA BANDA LA TIGO MAONESHO YA NANENANE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/wakaazi-wa-simiyu-wafurahia-bidhaa.html
0 Response to "WAKAAZI WA SIMIYU WAFURAHIA BIDHAA NDANI YA BANDA LA TIGO MAONESHO YA NANENANE"
Post a Comment