Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar

Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar
kiungo : Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar

soma pia


Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar

 Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akipatiwa maelezo na Injinia wa ujenzi wa kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Mohammed Nahoda Mohammed katika ziara ya kutembelea kituo hicho kilichupo Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  Mkurugenzi wa Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar Dkt. Mayssa Salum Ali akimuelezea Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed katikati juu ya mafundi wanavyoendelea na ujenzi, kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Khamis Rashid Mohammed.

Mafundi wakiendelea na ujenzi wa Kituo cha  Taasisi ya Mambo ya Afya  Zanzibar.

Eneo la mipaka ya Kituo cha  Taasisi ya Mambo ya Afya  Zanzibar likionekanwa tayari limezungushiwa Nguzo kwaajili ya kulihami na Uvamizi wa Wananchi.
Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar.


Hivyo makala Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar

yaani makala yote Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/waziri-wa-afya-akagua-maendeleo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar"

Post a Comment