title : Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria
kiungo : Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria
Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria
Ndege ya kijeshi ya Algeria iliyokuwa imebeba wanajeshi imeanguka Jumatano asubuhi na kuuwa watu 257.
Maafisa wamesema kuwa ndege hiyo imeanguka karibu na kituo cha ndege za kijeshi cha Boufarik muda mfupi baada ya kuruka.
Wizara ya ulinzi ya Algeria imesema kuwa ndege hiyo ilikuwa inaelekea kwenye eneo la Tindoufkusini mashariki mwa taifa hilo.
Mpaka wakati huu sababu za kuanguka ndege hiyo hazijaweza kufahamika.
Hivyo makala Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria
yaani makala yote Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/watu-257-wafariki-katika-ajali-algeria.html
0 Response to "Watu 257 wafariki katika Ajali Algeria"
Post a Comment