title : Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamino.
kiungo : Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamino.
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamino.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge wakati alipozungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma majina ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino ambao hawaishi kwenye Kituo chao cha kazi cha Chamwino badala yake wanaishi jijini Dodoma. Alikuwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri hiyo kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Chamwino
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Vumilia Nyamoga ordha ya watumishi ambao hawaishi kwenye kituo chao cha kazi cha Chamwino na badala yake wanaishi jijini Dodoma. Alikuwa katika mazungumzo na watumishi wa Halmashauri hiyo kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo,
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo,
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino wakimshangilia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo kuzungumza na watumishi hao, Oktoba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamino.
yaani makala yote Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamino. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamino. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/waziri-mkuu-mhe-kassim-majaliwa.html
0 Response to "Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamino."
Post a Comment