WANA-JUNDOKAN ULIMWENGUNI WAFURIKA MJINI NAHA, OKINAWA, JAPAN, KUADHIMISHA MIAKA 65 YA CHAMA HICHO CHA GOJU RYU KARATE-DO

WANA-JUNDOKAN ULIMWENGUNI WAFURIKA MJINI NAHA, OKINAWA, JAPAN, KUADHIMISHA MIAKA 65 YA CHAMA HICHO CHA GOJU RYU KARATE-DO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANA-JUNDOKAN ULIMWENGUNI WAFURIKA MJINI NAHA, OKINAWA, JAPAN, KUADHIMISHA MIAKA 65 YA CHAMA HICHO CHA GOJU RYU KARATE-DO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANA-JUNDOKAN ULIMWENGUNI WAFURIKA MJINI NAHA, OKINAWA, JAPAN, KUADHIMISHA MIAKA 65 YA CHAMA HICHO CHA GOJU RYU KARATE-DO
kiungo : WANA-JUNDOKAN ULIMWENGUNI WAFURIKA MJINI NAHA, OKINAWA, JAPAN, KUADHIMISHA MIAKA 65 YA CHAMA HICHO CHA GOJU RYU KARATE-DO

soma pia


WANA-JUNDOKAN ULIMWENGUNI WAFURIKA MJINI NAHA, OKINAWA, JAPAN, KUADHIMISHA MIAKA 65 YA CHAMA HICHO CHA GOJU RYU KARATE-DO

Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya Okinawa Goju Ryu Jundokan  Karate kuanzia Novemba 8 hadi 16 mwaka huu itaadhimisha miaka 65 toka ianzishwe sambamba na maadhimisho ya miaka 20 toka kufariki kwa  mwanzilishi wa Jundokan master Eiichi Miyazato aliyefariki Disemba 11, 1999 huko mjini Naha, Okinawa, Japan. Maadhimisho hayo yataudhuriwa na kuwakilisha toka matawi yake yote ya dunia, au mabara yote, ikiwemo pia tawi la Tanzania chini ya mkufunzi wake mwakilishi sensei Fundi Rumadha mwenye Dan nne, au Yondan.
Hii ni moja ya matukio ya kihistoria ya chama cha Jundokan hususani kwa mrithi wa Goju Ryu kama mwalimu msaidizi wa ( Soke ) master Chojun Miyagi mwanzilishi  wa mtindo wa Okinawa Goju Ryu Karate-Do. Baada ya kifo cha mwanzilishi huyo wa Goju Ryu kufariki Oktoba 8, 1953, hapo ndipo wanafunzi wake walipotawanyika kimakubaliano kuendeleza Sanaa hii ya asilia toka visiwa vya Okinawa na kuunda vyama tofauti kama heshima ya kumuenzi master Miyagi na kueneza mtindo wa  Okinawa Goju Ryu.
Master Miyagi, alikuwa ana wanafunzi wengi mahili waliobobea katika Sanaa ya Karate mtindo wa Okinawa Goju Ryu kama vile: Eiichi Miyazato, aliyeanzisha Jundokan 1957, Meitoku Yagi, aliyeanzisha Meibukan Goju Ryu, Gogen Yamaguchi, mwanzilishi wa Goju Kai, Seikichi Toguchi, mwanzilishi wa Shorei Kan Goju Ryu na Seko Higa, mwanzilishi wa Goju Ryu Kokusai Karate Kobudo.

Baadhi ya wanafunzi wa master Eiichi Miyazato ni: Kiichi Nakamoto sensei, Morio Higaonna sensei, Anichi Miyagi sensei, Teruo Chinen sensei, Chuck Merriman sensei, Kuniyuki Kai sensei, Nantambu Camara Bomani sensei (Mwanzilishi wa Jundokan Tanzania na Ghana), Masaji Taira sensei, Tetsunosuke Yasuda Sensei, Koshin Iha sensei, Teruya Koei sensei, Tetsu Gima sensei, Tsuneo  Kinjo sensei na mamia ya wanafunzi wengi toka ndani na nje ya Japan.
Maadhimisho haya ya kihistoria yatafanyika katika moja ya kumbi mpya maarufu kwa jina la “Okinawa Karate Kaikan Hall”, ukumbi uliojengwa mahususi kwa mahafali ya Karate kama historia ya sehemu palipozaliwa Karate na kufunguliwa na mfalme Akihito na mkewe Michiko mapema mwaka jana. Washiriki wote watakaoshiriki kongamano hilo, watashiriki katika na mafunzo maalum tokea tarehe 8 Novemba hadi 12, na kufuatiwa na mafunzo maalum trehe 13 hadi 16 Novemba hapo Kaikan Hall.
Sensei Fundi ataambatana na wana Karate wengine wa  chama hicho cha Jundokan mjini Taipei, Taiwan akitokea Marekani wiki moja tokea sasa na tayari kwa kongamano hilo 8 Novemba mjini Naha, Okinawa, Japan. Pia vilevile kutakuwa na warsha sambamba na mafunzo mbalimbali ya kujiliinda kufuatiwa na tafrija za kila siku jioni katika Hotel ya Orion mjini Naha kwa washiriki wote wa Jundokan toka pembe zote za dunia ikiwemo mabara yote. Pia vilevile sambamba na yote yaliyotajwa hapo, kutakuwa na heshima maalum kudhuru makaburi ya waanzishilishi hao kupata historia ya makumbusho ya Karate pia.

 Mahojiano aliyofanyiwa Sensei Fundi na gazeti la Okinawa Times Newspaper nchini Japan 
 Sensei Fundi akiwa na Masensei toka jumuiya za Ulaya Jundokan mjini Warsaw,  Poland
 Sensei Fundi akisimamia mazoezi ya pamoja  katika Dojo la Jundokan la Tanzania shule ya msingi ya Zanaki jijini Dar es salaam


Sensei Fundi akichambua mbinu za kujilinda kiufanisi katika Dojo la Jundokan la Tanzania shule ya msingi ya Zanaki jijini Dar es salaam


Hivyo makala WANA-JUNDOKAN ULIMWENGUNI WAFURIKA MJINI NAHA, OKINAWA, JAPAN, KUADHIMISHA MIAKA 65 YA CHAMA HICHO CHA GOJU RYU KARATE-DO

yaani makala yote WANA-JUNDOKAN ULIMWENGUNI WAFURIKA MJINI NAHA, OKINAWA, JAPAN, KUADHIMISHA MIAKA 65 YA CHAMA HICHO CHA GOJU RYU KARATE-DO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANA-JUNDOKAN ULIMWENGUNI WAFURIKA MJINI NAHA, OKINAWA, JAPAN, KUADHIMISHA MIAKA 65 YA CHAMA HICHO CHA GOJU RYU KARATE-DO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/wana-jundokan-ulimwenguni-wafurika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANA-JUNDOKAN ULIMWENGUNI WAFURIKA MJINI NAHA, OKINAWA, JAPAN, KUADHIMISHA MIAKA 65 YA CHAMA HICHO CHA GOJU RYU KARATE-DO"

Post a Comment