ULEGA AAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA ILI KUIMARISHA UVUVI NCHINI

ULEGA AAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA ILI KUIMARISHA UVUVI NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ULEGA AAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA ILI KUIMARISHA UVUVI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ULEGA AAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA ILI KUIMARISHA UVUVI NCHINI
kiungo : ULEGA AAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA ILI KUIMARISHA UVUVI NCHINI

soma pia


ULEGA AAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA ILI KUIMARISHA UVUVI NCHINI

NAIBU Waziri wa Uvuvi na Mifugo na Mbunge wa Mkuranga Mh. Abdallah Ulega ameziagiza halmashauri zote nchini kuanzisha vyama vya ushirika vya wavuvi ili kuwapa uwezo wa kukopa fedha na kununua zana za kisasa kwa ajili ya shughuli zao za uvuvi.

Ulega ameyasema hayo akiwa katika ziara Wilayani Chato Mkoani Geita ambako alitembelea vituo vya uzalishaji wa vifaranga vya samaki na kutembelea soko la kimataifa la samaki Kasenda pamoja na shamba la kunenepesha ng'ombe la Alpha Choice na kukagua namna utendaji na shughuli za uvuvi zinavyoendeshwa.

Akiwa Mkoani humo Naibu Waziri amesema kuwa wavuvi pamoja na wananchi wa kijiji cha Kikumbaitare Wilayani Chato lazima wawe na chama cha ushirika ambacho kitawasaidia hasa katika kukopa fedha na kununua zana uvuvi zenye tija zaidi na kuwa mfano kwa kuiunga serikali katika kupiga vita uvuvi haramu.

Akiwa kwenye soko la kimataifa la samaki la Kasenda na kuzungumza na wavuvi walimuomba Naibu Waziri kuimarishiwa miundombinu hasa barabara kwa kuwekwa lami ili kuwarahisishia usafiri wa bidhaa zao.

Kwa upande wake mkuu wa Wilaya ya Chato Mhandisi Mtemi Msafiri amemwomba Naibu waziri kuzuia baadhi ya mialo inayoendesha shughuli za uvuvi kwa kuwa inakosesha serikali mapato na sehemu maalumu ya mauzo yawe ni soko la Kasenda.

Baadhi wa wavuvi wamemshukuru Naibu waziri kwa kuwatembelea mara kwa mara na kusikiliza kero zao na wamehadi kuwa walinzi dhidi ya uvuvi haramu na wameziomba halmashauri kutilia maanani suala la kuanzishwa kwa vyama vya ushirika ili waweze kunufaika na kuongeza mapato kwa serikali.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akizungumza leo na  wafanyabiashara, wavuvi katika mwalo wa Kikumba Itare wilaya ya Chato mkoa wa Geita.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akiangalia akiwa ameambatana na watendaji wa Wilaya ya Chato akingalia mifugo inayo nenepeshwa katika shamba la Alpha Choice leo mkoa wa Geita.(Picha na Emmanuel Massaka wa MMG Geita)
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega (katikati) akiwa ameambatana na mkuu wa wilaya ya Chato,Mhandisi Mtemi Msafiri (kulia)wakikangua mwalo wa Kikumba Itare.


Hivyo makala ULEGA AAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA ILI KUIMARISHA UVUVI NCHINI

yaani makala yote ULEGA AAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA ILI KUIMARISHA UVUVI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ULEGA AAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA ILI KUIMARISHA UVUVI NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/ulega-aagiza-halmashauri-zote-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ULEGA AAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA ILI KUIMARISHA UVUVI NCHINI"

Post a Comment