title : TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION WAIOMBA SERIKALI KUWAPA KIBALI CHA KUANZA KULEA WAZEE KATIKA NYUMBA YA WAZEE ILIYOPO KWEMBE
kiungo : TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION WAIOMBA SERIKALI KUWAPA KIBALI CHA KUANZA KULEA WAZEE KATIKA NYUMBA YA WAZEE ILIYOPO KWEMBE
TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION WAIOMBA SERIKALI KUWAPA KIBALI CHA KUANZA KULEA WAZEE KATIKA NYUMBA YA WAZEE ILIYOPO KWEMBE
Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
ASASI ya kiraia ya Tushikamane pamoja foundation imeiomba serikali kuwapa kibali cha kuwaruhusu kuanza kuwatunza wazee katika nyumba ya asasi hiyo iliyopo Kwembe Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kuadhimisha siku ya wazee duniani, Mwanzilishi wa asasi ya kiraia ya Tushikamane pamoja, Rose Mwapachu amesema kuwa kwa sasa wameshatuma maombi ya kupata kibali kwaajili ya wazee kukaa katika nyumba waliyoijenga.
"Kwa sasa tumeshatuma maombi serikalini ya kuomba kibali kwaajili ya wazee wasio na ndugu na wasiojiweza kukaa katika nyuma hii tuliyoiandaa kwaajili ya wazee hawa."
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kusheherekea siku ya wazee, Rose Mwapachu amesema kuwa siku hii ni mhimu kwaajili ya wazee wasiokuwa na ndugu na wasio na sehemu za kuishi ndio watakao kuja kukaa hapa.
"Hivyo kwa wazee na wasio na ndugu wala watoto ndio wataishi katika nyumba hii ili kuepusha watu wa madai au kuja kudai mirathi hapa." Amesema Rose Mwapachu.
Kwa upande wa serikali mwakilishi wa Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Zainabu Mwafilamba amesema kuwa Maombi ya Tushikamane pamoja Foundation tumeyaona na yanafanyiwa kazi.
"Sisi wazee wa Dar es Salam tunawashukuru sana Tushikamane pamoja foundation kwa kutujali sisi wazee Mungua awajalie kila lenye heri watu wote wanaowajali wazee kama sisi".
Pia wamesema kuwa pale tulikuwa na upweke sasa tunajiona kama watuwalio na ndugu kwa mchango wa Tushikamane pamoja foundation wanavyojitoa kwetu.
Tushikamane pamoja Foundation wamungana pamoja na wazee wasio na makazi jijini Dar es Salaam katika kusheherekea siku ya wazee duniani ambayo hufanyika duniani kote ifikapo Oktoba 1 kila mwaka.
Baadhi ya wazee wakielekea katika nyumba ambayo imejengwa na wana tushikamane pamoja Foundation kwaajili ya kulea wazee wasio na ndugu wala watoto jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wazee wakielekea katika nyumba ambayo imejengwa na wana tushikamane pamoja Foundation kwaajili ya kulea wazee wasio na ndugu wala watoto jijini Dar es Salaam.
Mwanzilishi wa Tushikamane pamoja Foundationi, Rose Mwapachu akizungumza na wazee wakati wa kusheherekea siku ya wazee duniani walipokusanyika leo katika nyumba iliyojengwa na Tushikamane pamoja Foundation kwaajili ya wazee.
Baadhi ya wageni waliohudhulia siku ya wazee duniani iliyoandaliwa na Tushukamane pamoja Foundation jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waliofanyikisha jengo la Tushikama pamoja foundation kufikia hii leo.
Baadhi ya wazee.
Baadhi ya wazee wakiwa ndani ya chumba mojawapo katika nyumba ya kulelea waze ya kwembe manispaa ya ubungo jijini Dar es Salaam.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Hivyo makala TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION WAIOMBA SERIKALI KUWAPA KIBALI CHA KUANZA KULEA WAZEE KATIKA NYUMBA YA WAZEE ILIYOPO KWEMBE
yaani makala yote TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION WAIOMBA SERIKALI KUWAPA KIBALI CHA KUANZA KULEA WAZEE KATIKA NYUMBA YA WAZEE ILIYOPO KWEMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION WAIOMBA SERIKALI KUWAPA KIBALI CHA KUANZA KULEA WAZEE KATIKA NYUMBA YA WAZEE ILIYOPO KWEMBE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/tushikamane-pamoja-foundation-waiomba.html
0 Response to "TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION WAIOMBA SERIKALI KUWAPA KIBALI CHA KUANZA KULEA WAZEE KATIKA NYUMBA YA WAZEE ILIYOPO KWEMBE"
Post a Comment