TTCL YAMUONGEZA MSANII MAN FONGO TAMASHA LA RUDI NYUMBANI KUMENOGA

TTCL YAMUONGEZA MSANII MAN FONGO TAMASHA LA RUDI NYUMBANI KUMENOGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TTCL YAMUONGEZA MSANII MAN FONGO TAMASHA LA RUDI NYUMBANI KUMENOGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TTCL YAMUONGEZA MSANII MAN FONGO TAMASHA LA RUDI NYUMBANI KUMENOGA
kiungo : TTCL YAMUONGEZA MSANII MAN FONGO TAMASHA LA RUDI NYUMBANI KUMENOGA

soma pia


TTCL YAMUONGEZA MSANII MAN FONGO TAMASHA LA RUDI NYUMBANI KUMENOGA


Mkuu wa Biashara Mkoa wa Dar es Salaam wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation), Bi. Mary Kinabo (kushoto) akisaini mkataba leo Dar es Salaam na msanii wa muziki aina ya singeli, Man Fongo (kulia) ili msanii huyo kushiriki katika kampeni kubwa ya Rudi Nyumbani Kumenoga inayoendelea mikoa yote ya Tanzania. Anayeshuhudia kulia ni mwanasheriaa wa TTCL, .Wasanii wengine wanaaonogesha kampeni hiyo ni pamoja na Asley Isihaka maarufu kama Dogo Asley na Shilole ‘Shishi Baby’.
Mkuu wa Biashara Mkoa wa Dar es Salaam wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation), Bi. Mary Kinabo (kushoto) akibadilishana mkataba na msanii wa muziki aina ya singeli, Man Fongo (kulia) mara baada ya kuusaaini ili msanii huyo kushiriki katika kampeni kubwa ya Rudi Nyumbani Kumenoga inayoendelea mikoa yote ya Tanzania. Anayeshuhudia kulia ni mwanasheriaa wa TTCL. Wasanii wengine wanaaonogesha kampeni hiyo ni pamoja na Asley Isihaka maarufu kama Dogo Asley na Shilole ‘Shishi Baby’.
Mkuu wa Biashara Mkoa wa Dar es Salaam wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation), Bi. Mary Kinabo (kushoto) akimpongeza msanii wa muziki aina ya singeli, Man Fongo (kulia) mara baada ya kuusaini mkataba ili msanii huyo kushiriki katika kampeni kubwa ya Rudi Nyumbani Kumenoga inayoendelea mikoa yote ya Tanzania. Anayeshuhudia kulia ni mwanasheriaa wa TTCL.
Mkuu wa Biashara Mkoa wa Dar es Salaam wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation), Bi. Mary Kinabo (kushoto) pamoja na msanii wa muziki aina ya singeli, Man Fongo (kulia) wakionesha mkataba mara baada ya msanii huyo kushiriki katika kampeni kubwa ya Rudi Nyumbani Kumenoga inayoendelea mikoa yote ya Tanzania. Anayeshuhudia kulia ni mwanasheriaa wa TTCL.
Sanii wa muziki aina ya singeli, Man Fongo (kulia) akizungumza mara baada ya kusaini ili kushiriki katika kampeni kubwa ya Rudi Nyumbani Kumenoga inayoendelea mikoa yote ya Tanzania.
Mkuu wa Biashara Mkoa wa Dar es Salaam wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation), Bi. Mary Kinabo na Man Fongo wakizungumza.
Afisa Masoko Mkuu wa Shirika la mawasiliano Tanzania (TTCL), Laibu Leornad (kushoto) akizungumza katika hafla hiyo.


Hivyo makala TTCL YAMUONGEZA MSANII MAN FONGO TAMASHA LA RUDI NYUMBANI KUMENOGA

yaani makala yote TTCL YAMUONGEZA MSANII MAN FONGO TAMASHA LA RUDI NYUMBANI KUMENOGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TTCL YAMUONGEZA MSANII MAN FONGO TAMASHA LA RUDI NYUMBANI KUMENOGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/ttcl-yamuongeza-msanii-man-fongo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TTCL YAMUONGEZA MSANII MAN FONGO TAMASHA LA RUDI NYUMBANI KUMENOGA"

Post a Comment