title : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA FAMILIA YA NGUZA VICKING IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA FAMILIA YA NGUZA VICKING IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA FAMILIA YA NGUZA VICKING IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza wakiwasili viunga vya Ikulu jijini Dar Leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais Magufuli kwa msamaha wake alioutoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia gerezani tangia walipohukumiwa miaka 13 iliyopita.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono na Familia ya Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza wakipata sala ya pamoja,mara baada kuwasili viunga vya Ikulu jijini Dar Leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais Magufuli kwa msamaha wake alioutoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia gerezani tangia walipohukumiwa miaka 13 iliyopita.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA FAMILIA YA NGUZA VICKING IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA FAMILIA YA NGUZA VICKING IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA FAMILIA YA NGUZA VICKING IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-dkt-magufuli-akutana-na-familia-ya.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA FAMILIA YA NGUZA VICKING IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment