title : TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE NYUMBANI
kiungo : TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE NYUMBANI
TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE NYUMBANI
Mchezo wa kufuzu Mataifa Afrika (AFCON) 2019 nchini Cameroon baina ya Tmu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' na Cape Verde unaendelea hapa Uwanja wa Taifa.
Taifa Stars wanaongoza kwa goli mbili zilizofungwa na Mshambuliaji wa DifaaEl Jadida ya Morocco Saimon Msuva dakika ya 29 akipokea pasi ya Mshambuliaji wa GRC Genk Mbwana Samatta.
Mpaka Mapumziko Taifa Stars wanatoka kifua mbele kwa goli 1-0.
Katika kipindi cha Pili, Samatta anaipatia Taifa Stars goli la pili akimalizia pasi ya Mudathiri Yahya.
Taifa Stars walifanya mabadiliko ya kumtoa Abdi Banda na kuingia John Bocco, Mudathir nafasi yake ikichukuliwa na Feisal Toto
Hivyo makala TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE NYUMBANI
yaani makala yote TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE NYUMBANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE NYUMBANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/taifa-stars-yaichapa-cape-verde-nyumbani.html
0 Response to "TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE NYUMBANI"
Post a Comment