CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU

CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU
kiungo : CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU

soma pia


CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU

Cassius O. Mdami ni miaka miwili sasa tangu umetuacha familia yako; mke wako Rose Mdami; na watoto wako Martina, Grace, Gideon, Gonsalver na Gibson. 
Kila uchao hatuachi kuisikia sauti yako na kukumbuka ucheshi wako kila mara ulipokuwa nasi. Kifo kimetutenganisha nawe. 
 Mungu anajua maumivu yote na machungu tuliyopitia familia yako na tunayoendelea kuyapitia kwa kutokuwepo kwako. Machozi yanatudondoka na hakuna wa kuyafuta; ila tumaini tunalo ya kwamba iko siku moja tutaonana nawe katika makao ya Baba Mbinguni.
Mungu endelea kutufariji kama maneno yako yasemavyo katika kitabu cha Kumbukumbu la Torati 31:8 “ Naye Bwana ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; usiogope wala usifadhaike ”
 Pumzika kwa Amani Baba G4



Hivyo makala CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU

yaani makala yote CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/cassius-mdami-kweli-umeenda-ila-umebaki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CASSIUS MDAMI KWELI UMEENDA; ILA UMEBAKI KWENYE NYOYO ZETU"

Post a Comment